yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,542
- 3,502
Ukiwa muoga hutoboi,Kwa Dar siyajui maeneo mengi Sana, alafu kufanya bodaboda dar es salaam ni risk sana Mana inahitaji moyo sana naogopa Sana kupiga bodaboda Dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiwa muoga hutoboi,Kwa Dar siyajui maeneo mengi Sana, alafu kufanya bodaboda dar es salaam ni risk sana Mana inahitaji moyo sana naogopa Sana kupiga bodaboda Dar
Mkuu kwanza nikupongeze kwa kusave Pesa za boom na kununua Boda.Mimi ni graduate katika moja ya chuo maarufu hapa Tanzania mwaka huu, Nina miaka 24, nimesomea bachelor of Accounting and Finance
Kutokana na changamoto kadhaa ya ugumu wa ajira na maisha kiujumla nimeamua niwe dereva bodaboda, nilinunua used kutoka kwa hela niliyoipata kwa kusave nikiwa chuo (boom) niliamua kuisafirisha Hadi nyumbani Kanda ya Kati ili niweze kusukuma maisha, ninakaa kwa wazazi baba yangu mzazi na mama yangu wa kambo, kwani mama mzazi alishafariki.
Leo nimeonana na rafiki zangu tuliosoma pamoja, nmekua nikiogopa Hata kufanya kazi hii kwani wengi wanafahamu Mimi nilikua Nina uwezo mkubwa Sana darasani wengine wamekua wakinikejeli kwa mafumbo na misemo ya hovyo mfano "kweli kusoma sio kupata kazi" kila nikikutana na wazee barabarani wananiuliza "umepangiwa wapi," "siku hizi unakazi gani" yaani wanaamimini kwa vyovyote vile nitakua nimepata kazi tu, dah
Kazi hii ya bodaboda inaanza kuwa ngumu Sana kwangu, mfano Leo Kuna wadada wamenikuta kijiweni nimepaki , wanabaki kushangaa tu, "yule si Fulani" Yani unaamua kuzuga na kuondoka unaekt Kuna sehem unawahi.
Juzi Kuna abiria kaja ana dharau kweli, we "boda nimesema huku" Hata anavyonielekeza kwake anaelekeza kwa dharau, ukimuuliza wapi anakaa kimya mdada ana nyodo hatari
Kingine kinachoniumiza kichwa ni Hali ya hapa nyumbani, maisha yamekua ni magumu Sana, sometimes najitegemea kwa chakula kwa kula mgahawani, naogopa Hata kumwambia yule mama Kama Kuna msosi alipika, naweza kaa na njaa tu kisa kuogopa kuuliza, Mana sipendi Sana.
Nilinunua kitanda na godoro nilipokua chuo na kuvisafirisha Hadi home ili nije nipange lakini Bei ya pango ni kubwa mno sh 40 kwa mwezi nimeshindwa kulipa kwa miezi 3 120k Kwan hela nayopata inaishia kwenye chakula tu.
Rafiki zangu tuliosoma nao wakafeli Wana maisha mazuri wengi wameoa na wamejenga,m wapo mbali kimaendeleo sana
Nafikiria kivipi nitaweza pata hela nipambane na haya maisha ya mtaani
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi yoyote halali mkoa wowote naomba anisaidie, nitaifanya kwa uaminifu na upendo kwani huku napokaa jamii inashindwa kunielewa.
Nenda shule yoyote ya private hasa za Dar kama wewe ni kipanga kweli na una first class degree watakuchuwa. Ili mradi uwe unaweza kuwapa wanafunzi ujuzi ulio nao kichwani kwa sababu unaweza kuta wewe ni domo zege hata kuongea huwezi. Wanafunzi wakikuelewa unaweza kuwa unafundisha hata shule tatu kwa mwezi ukichukuwa hata laki 5 tuu kila shule ni 1.5m net na hicho ni kiwango cha chini kabisa. Kama huna pa kufikia Dar nitafute nikupe hifadhi ya mwezi 1. Baada ya hapo utakuwa unanilipa 150,000.kwa mwezi chumba chenye kitanda na godoro na meza ya kusomea na kiti. Umeme na maji utajilipia. Wewe umemaliza chuo ukarudi kijijini kwani ulipokuwa chuo ulishindwa nini kutafuta marafiki wanaokaa mjini ukaenda kujibanza kwao utafute chanel huko mjini. Shida nyingine mnazipanda wenyewe na kuziwekea mbolea zistawi halafu mnakuja hapa jukwaani kulalamika.Mimi ni graduate katika moja ya chuo maarufu hapa Tanzania mwaka huu, Nina miaka 24, nimesomea bachelor of Accounting and Finance
Kutokana na changamoto kadhaa ya ugumu wa ajira na maisha kiujumla nimeamua niwe dereva bodaboda, nilinunua used kutoka kwa hela niliyoipata kwa kusave nikiwa chuo (boom) niliamua kuisafirisha Hadi nyumbani Kanda ya Kati ili niweze kusukuma maisha, ninakaa kwa wazazi baba yangu mzazi na mama yangu wa kambo, kwani mama mzazi alishafariki.
Leo nimeonana na rafiki zangu tuliosoma pamoja, nmekua nikiogopa Hata kufanya kazi hii kwani wengi wanafahamu Mimi nilikua Nina uwezo mkubwa Sana darasani wengine wamekua wakinikejeli kwa mafumbo na misemo ya hovyo mfano "kweli kusoma sio kupata kazi" kila nikikutana na wazee barabarani wananiuliza "umepangiwa wapi," "siku hizi unakazi gani" yaani wanaamimini kwa vyovyote vile nitakua nimepata kazi tu, dah
Kazi hii ya bodaboda inaanza kuwa ngumu Sana kwangu, mfano Leo Kuna wadada wamenikuta kijiweni nimepaki , wanabaki kushangaa tu, "yule si Fulani" Yani unaamua kuzuga na kuondoka unaekt Kuna sehem unawahi.
Juzi Kuna abiria kaja ana dharau kweli, we "boda nimesema huku" Hata anavyonielekeza kwake anaelekeza kwa dharau, ukimuuliza wapi anakaa kimya mdada ana nyodo hatari
Kingine kinachoniumiza kichwa ni Hali ya hapa nyumbani, maisha yamekua ni magumu Sana, sometimes najitegemea kwa chakula kwa kula mgahawani, naogopa Hata kumwambia yule mama Kama Kuna msosi alipika, naweza kaa na njaa tu kisa kuogopa kuuliza, Mana sipendi Sana.
Nilinunua kitanda na godoro nilipokua chuo na kuvisafirisha Hadi home ili nije nipange lakini Bei ya pango ni kubwa mno sh 40 kwa mwezi nimeshindwa kulipa kwa miezi 3 120k Kwan hela nayopata inaishia kwenye chakula tu.
Rafiki zangu tuliosoma nao wakafeli Wana maisha mazuri wengi wameoa na wamejenga,m wapo mbali kimaendeleo sana
Nafikiria kivipi nitaweza pata hela nipambane na haya maisha ya mtaani
Kwa yeyote mwenye connection ya kazi yoyote halali mkoa wowote naomba anisaidie, nitaifanya kwa uaminifu na upendo kwani huku napokaa jamii inashindwa kunielewa.
Never give up....Law degree,graduated same year as you, mama wa kambo as you, unemployed, nmejitolea sana kwny firms nmeambulia chakula tu, Baba yangu mzazi sasa na sio mama wa kambo, Baba mzazi tu yeye ndio kaanza kunidharau na kuonyesha nje nje, sio mimi tu bali hadi hako ka degree kangu ka sheria, nmemaliza degree ya sheria miaka mi4 kwa mkopo so probably unaweza ona probability ya mimi kwenda law school kulipa 1.7 M kwa mkupuo mmoja sina tena, na Biashara yangu ya kiosk cha vinywaji nliofungua kwa kudunduiza Boom inaelekea kufa this month.. Bro tupambane, nafkri tunapitia magumu kwa sabab maalumu.. tutashinda
Bado una umri mdogo acha kukata tamaa kijanaMimi ni graduate katika moja ya chuo maarufu hapa Tanzania mwaka huu, Nina miaka 24, nimesomea bachelor of Accounting and Finance