Nikivuta sigara huwa napona mafua

BARDIZBAH

JF-Expert Member
Jan 11, 2017
4,769
8,427
Habari wakuu mbali mbali?

Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nimekuwa natumia sigara kama matibabu ya mafua endapo nikiugua na huwa napona siku hiyo hiyo ,lakini ifahamike mimi sio mtumiaji wa Sigara.

Je kuna siri gani hapo wakuu mbali mbali.

NB:Sihamasishi uvutaji wa sigara . Uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako.
 
Sio mvutaji na hiyo unayovuta ni nini?

Wewe sio mvutaji, ulianzaje kuweka sigara mdomoni kwako?

Hivi ule utafiti kwamba mtu yeyote anarvuta sigara hana akili ni kweli eeh?
 
Sio mvutaji na hiyo unayovuta ni nini?

Wewe sio mvutaji, ulianzaje kuqeka sigara mdomoni kwako?

Hivi ule utafiti kwamba mtu yeyote anarvuta sigara hana akili ni kweli eeh?
Eti alianzaje kuweka sigara mdomoni mwake?
Watanzania mpo humu noma sana mnatuongezea siku za kuishi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom