Nikitumia WI-FI kupiga simu bila line, bado TCRA wanaweza kufungia simu yangu?

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Wadau,
Mwenzenu nimekuwa nikifiria nje ya box, wanasema akili yenye njaa haishindwi kitu. Simu yangu ni mchina lakini aliyeenda shule, meaning ninaweza kupiga simu na shughuli zote kwa WIFI bila line ya Career, je, TCRA bado wataweza kufungia simu yangu?

Nawasilisha.
 
Kupinga simu bila ya line ni kuconect na wifi na baadae unaweza ukipiga kwa viber na app nyingine ambazo zipo nyingi. Kwakua Internet ndio inayotoa huduma hiyo na sio line
 
Kwa mfano Mimi nipo Dubai lakini ukitumia line za simu huwezi kufungua ile mitandao ya kiutuuzima lakini ukiseti wifi unakula raha Kama kawaida.
 
wanaweza kutrack mawasiliano yako hata kama hutumii sim card kwa sababu ili simu iweze kupokea na kutoa taarifa lazima iwe na namba ya utambulisho (IMEI) ambayo inapeleka taarifa na mawasiliano yako kwenye server, na ndiyo inayotabua simu unayotumia.

Kwahiyo kama unatumia huo ujanja ujue hamna ujanja hapo kwani wanaweza kutrack na kama mawasiliano yako yanaenda kinyume cha sheria yani unavunja sheria ya mtandao wanaweza kublock kifaa chako pia kumtafuta Internet Service Provider (ISP) kwa kupata data zaidi. Yani wanajua mpaka location uliyopo kwa details zakutosha kama jina la sehemu uliyopo, mwinuko kutoka usawa wa bahari, Mac address yako etc....

kwahiyo usivunje sheria coz watakukamata tuu.
 
mkuu bahati mbaya hujui kitu, kwa lugha ya wenzetu unaitwa "naive", anayewapa IMEI hao TCRA ni service provider/carrier, sasa km situmii Sim card yao (natumia WIFI) TCRA hawana ujanja. (kwa mujibu wa maelezo ya mdau mmoja humu anayepiga mzigo TCRA).
 
Hahahahahahah
Ninachokumbuka,huduma ya Bure ina limit yake...haiendi mbali saana....i.e Bluetooth.
Sasa sijaelewa hii Wifi inayotaka kutumika kama mbadala .....kwetu bado kusambaa sana kiasi wkt wote ukawa unapata hiyo connection ya Data,unless uwe una tembea na tools ya kuprovide na nyingine ya kutumia.
Hakuna Network rahisi kutrace kama ya Wifi ....cha kujivunia ni kukosekana kwa Sync baina ya Provider na Regulator ila kwa kutraciwa na Wifi iko simple mno ndiyo wenzetu wameanza kutoa Wireless Phone.....rahisi ktk utambuzi wa kutrace,haina overshoot za kishamba.
 
Wadau,
Mwenzenu nimekuwa nikifiria nje ya box, wanasema akili yenye njaa haishindwi kitu. Simu yangu ni mchina lakini aliyeenda shule, meaning ninaweza kupiga simu na shughuli zote kwa WIFI bila line ya Career, je, TCRA bado wataweza kufungia simu yangu?

Nawasilisha.
Kweli una akili yenye njaa,hiyo wifi ni huduma ulioipata kutoka kwenye mtambo ambao una sim card halafu unakugawia wewe mawasiliano.
Kwa hiyo hujafanya kitu
 
mkuu bahati mbaya hujui kitu, kwa lugha ya wenzetu unaitwa "naive", anayewapa IMEI hao TCRA ni service provider/carrier, sasa km situmii Sim card yao (natumia WIFI) TCRA hawana ujanja. (kwa mujibu wa maelezo ya mdau mmoja humu anayepiga mzigo TCRA).
Kumbuka kuwa IMEI ni namba ya utambulisho wa Simu na haitegemei uwepo wa sim card ndiyo iweze kuwa tracked.
 
wanaweza kutrack mawasiliano yako hata kama hutumii sim card kwa sababu ili simu iweze kupokea na kutoa taarifa lazima iwe na namba ya utambulisho (IMEI) ambayo inapeleka taarifa na mawasiliano yako kwenye server, na ndiyo inayotabua simu unayotumia.

Kwahiyo kama unatumia huo ujanja ujue hamna ujanja hapo kwani wanaweza kutrack na kama mawasiliano yako yanaenda kinyume cha sheria yani unavunja sheria ya mtandao wanaweza kublock kifaa chako pia kumtafuta Internet Service Provider (ISP) kwa kupata data zaidi. Yani wanajua mpaka location uliyopo kwa details zakutosha kama jina la sehemu uliyopo, mwinuko kutoka usawa wa bahari, Mac address yako etc....

kwahiyo usivunje sheria coz watakukamata tuu.
Kumbuka kuwa IMEI ni namba ya utambulisho wa Simu na haitegemei uwepo wa sim card ndiyo iweze kuwa tracked.

Unaweza ukaja na ushahidi wa unayoyazungumza? Umefanya research yoyote kabla ya kuanza kutema pumba? Unajua namna simu inavyoconnect kwenye Internet kwa kutumia WiFi, na inavyoconnect kwa mtandao wa simu kwa kutumia GSM/WCDMA/3G types of technologies, na tofauti kati ya hizo categories mbili?

IMEI inakuwa transmitted pale device yako inapoconnect kwa base station (mnara) wa mobile provider (mfano Voda, Airtel). Ukiconnect kwa WiFi, huo ni mfumo tofauti kabisa na IMEI haihusiki na haiwezi kuonekana na ISP kwa namna yoyote ile, yaani what you said is ridiculous!

Jaribu kutafakari: ni devices ngapi ambazo hazitumii GSM (yani haziingizi line wala hazina IMEI) ila zinaconnect kwa WiFi? Computers, iPods, tablets, e.t.c

Huoni kama IMEI na WiFi havihusiani?
 
Kuwa tafutwa ni rahisi kwakuwa kwenye wifi kuna kitu kinaitwa mac address ambayo inaaweza kuprovide location yako
 
Kweli una akili yenye njaa,hiyo wifi ni huduma ulioipata kutoka kwenye mtambo ambao una sim card halafu unakugawia wewe mawasiliano.
Kwa hiyo hujafanya kitu
Daah Mkuu bora ungeendelea kujifunza kama mm nnavyo jifunza kupitia Uzi huu. Kuliko kujionyesha kuwa empty minded kwa mada kama hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom