Nikitumia NERO kuandika CD/DVD zinagoma kutoa sauti katika DVD player! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikitumia NERO kuandika CD/DVD zinagoma kutoa sauti katika DVD player!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Pape, Mar 25, 2010.

 1. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #1
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Nimekuwa nikitumia NERO 7 Essential lakini mara nyingi nikiandika files katika fomati ya VCD na mara nikicheza mafile hayo katika DVD player basi sauti inakuwepo kwa dakika 2-4 tu za mwanzo na baada ya hapo sauti inapotea kabisaaaaaaa! Inabakia moving pictures tu bila sauti. Ila VCD hiyo hiyo nikicheza kwa kutumia PC inatoa sauti mwanzo mpaka mwisho! Hii Nero nina product key yake na bado ni valid.

  Je, tatizo litakuwa ni nini? Naomba msaada wenu wakuu!
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sio tatizo la Nero.Inaweza kuwa ni tatizo la Incopatibility ya DVD player yako na format ya Hizo VCD file.

  Kuna kitu kinaitwa codec. inawezekana DVD player yako haina sound codecs za format fulani ya Video File.  tatizo hili nimeliona kwenye Window Media Player na Player nyingine kushindwa kuonyesha picha au kuonyesha picha bila kutoa sauti . Lakini ukitumia VLC Player hiyo itakuchezea Video file yenye format yeyote bila matatizo

  Kwanza ni kujua ni Model ya DVD player yako na kuona kama unaweza kuiupdate ( Kupata latest codecs)

  Au
  Ku edit Hiyo Video file kwenye format inayoendana na DVD player yako. Kwa hii utahitaji Video Editing sofware
   
 3. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #3
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ninamaanisha DVD player inayounganishwa na TV mkuu! Simaanishi DVD drive ya PC au Laptop!
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Sawa lakini function zake ni zile zile.
  DVD player yako ni model gani?( (Eg sony HS-X502 or JVC -Model 123)

  Na hilo CD amabayo halitoi suauti file lake/zake ziko kwenye format gani au file extension gani ( . avi or .mp4 or .mkv. or .vob or 3gp etc)

  Nilivyoelewa kuna format fulani ya video fulani ukicheza kwenye DVD yako haitoi sauti.
   
 5. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #5
  Mar 25, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Nimejaribu kuandika WMV files as VCD sauti ikagoma!
  Nikabadili to AVI then nikaandika katika VCD bado sauti ni empty!
  Nikajaribu MP4, nayo imenigomea!

  Inacheza sauti kiduchu tu halafu inasusa kabisaaaaaaaaaaaa!
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2010
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  hayo material yako unafuata copyrights procedures???
  tusije kukusaidia wizi hapa.
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kuna mtaalam 1ja anasema hivi
  http://club.myce.com/f3/avi-iso-dvd-has-no-sound-dvd-player-229671/
   
 8. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  Kwa Ushauri wangu Umebadilisha kila kitu kwa hiyo nero yako jaribu hivi Un-install Nero Then install again Nero Kuiondosha Nero tumia tool hii bonyeza hapa http://downloads.phpnuke.org/en/download-item-view-x-b-n-l-a/NERO%2BGENERAL%2BCLEAN%2BTOOL.htm

  Ukisha ondosha hiyo Nero yako kisha kuweka tena itakurekebishia hilo tatizo lako
   
 9. madangwa

  madangwa Member

  #9
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bwana Maziku, pole sana na tatizo lililokukuta ila hiyo ndo texchnolojia yenyewe. je naweza kujua hiyo VCD yako uliiwrite kwa speed gan?
   
 10. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2010
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  4x, thats it!
   
Loading...