Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikitongoza huwa nafurahi sana nikikataliwa kuliko nikikubaliwa....!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mitishamba, Mar 13, 2012.

 1. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Suala la kutongoza linaweza kumkuta mwanamume yeyote rijali.
  Sasa mimi nikitongoza mwanamke halafu akinikatalia huwa nafurahi na kujisikia vizuri sana kuliko kama akinikubalia.
  Yaani anakuwa ameniepusha na mambo mengi mnoooo......
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  "Mama Sia, vaa kodulai, tumevamiwa hapa."

  Huyo ni jamaa akimsihi mkewe avae nguo za kiume baada ya majambazi kuingia nyumbani kwao.
   
 3. d

  dandabo JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 18, 2012
  Messages: 303
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  mkubwa Kisaikologia utakua huko sawasawa, ukitongoza ujue kuna motive(kiu) ya kupata kitu flani na huwezi kupata raha hadi kiu hiyo iwe satisfied!
   
 4. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekwambia anakuwa amekuepusha na mambo mengi sana, hujui hilooo?
   
 5. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  sasa kama unataka kuepushwa na mambo mengi si usitongoze kabisa
   
 6. Swts

  Swts JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 3,072
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Sasa ankol,n sawa nakusema,..unaponanhii usipojojoa unaenjoy kuliko ukijojoa..sasa kwanin utongoze? Af cdhan kama mara zote ukitongoza unakataliwa,jitahd kuwa na kamcmamo japo kidoogo,.ok?
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah na wewe kweli unaleta kali....
  Sasa lengo la kutongoza ni nini?
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Wewe nadhani sio mtu wa kawaida na inawezekana utakuwa una matatizo ya kisaikolojia maana sidhani kama mtu mwenye akili zake timamu anaweza kufurahia kukataliwa na mwanamke. Nakushauri uende kwa Psychiatrist ili aweze kukushauri na kukusaidia kuondoa hilo tatizo lako.
   
 9. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mfano kama ninavyokuona hapo halaf unasema nisikutongoze..!
   
 10. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,606
  Likes Received: 6,182
  Trophy Points: 280
  Sitaki nataka, dizaini hii haikawii kulaumu mwanamke kambaka, wakati yeye mwenyewe ndiye kamtokea.
   
 11. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sasa mbona hata ukichanyata baadae unakuja kujuta tu.
   
 12. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa hiyo bora bi kukubaliwa halafu ukamuliwe kama malima na kuachiwa migonjwa.
   
 13. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akinipa nakula mzigo kama kawa tu.
   
 14. Shantel

  Shantel JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 7, 2011
  Messages: 2,021
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 0
  halafu nikikukataa unashangilia, na nikikukubali unanichukua kwa shingo upande ama?
   
 15. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mimi huwa naenjoy sana nikila tigo ya mwanamke! Nzuri aiseee
   
 16. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Nataka kukomenti lakini ebu nieleze hapo kwenye colour ni yapi hayo.
   
 17. m

  mitishamba JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 21, 2011
  Messages: 697
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hebu komenti kwanza tuone.
   
 18. d

  dav22 JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  sasa si uache kutongoza kabisa ili uepuke hayo mambo kabisa??
   
 19. d

  dav22 JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  kweli jamaa kama vile hajielewei naona he he he he he
   
 20. d

  dav22 JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he eh he he he he
   
Loading...