Nikitaka kusoma sheria baadaye, natakiwa nisome masomo gani?

hausa urrasa

Member
Jan 11, 2017
71
26
Habari zenu wakuu,

Ningependa kuja kuwa mwanasheria, yani nisome sheria. Kiukweli sijafahamu juu ya masomo yanayotakiwa kusoma mtu wa sheria.

Msadaa kwenu wanajamvi.
 
Masomo yenye HL [hkl, hgl] na kama huna HL advance uwe umafaulu English na History Olevel [PCB, pcm, cbg, hgk... etc] ikishindikana hivyo uwe umesoma certificate ya law na Diploma ya law.
 
Ukimalilza form four unaweza kuingia kusomea sheria
 
Certificate ya sheria unaruhusiwa baada ya hapo uendelee na diploma,

Ps,

kulikua na mfumo ukisoma udsm certificate of law nakupata first class GPA unasoma degree moja kwa moja hapo hapo, sijui kama bado upo.
 
Nimekupa mkuu
 
Back
Top Bottom