Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Ni takribani mwaka mmoja sasa tunaimba sera ya kubana matumuzi sera ambayo kiuhalisia mimi naona haijleta tofauti yoyote ya kimaisha kwa mwananchi wa kawaida kiasi kwamba naitafsiri ni kama sera hewa tu.
Wewe unaetetea sera hii hebu nipe faida tulizozipata kama Taifa tangu sera hii ianze mwaka jana mwishoni.
Tutajieni mambo tulioweza kuyaboresha au kuya-achieve kupitia sera hii ya kubana matumizi ambayo hatukuweza kuyapata katika utawala uliopita.
Iko wapi tofauti inayoonekana ya kubana matumizi na kuongeza mapato katika awamu hii ukilinganisha na awamu iliyopita?
Labda niulize,sera hii inahijati muda gani mpaka iweze kuji-reflect machoni pa watu?
Ni kweli tunabana matumizi au tumebadili tu style ya matumizi?
Sera hii ya kubana matumizi ni kweli ipo/inaishi?
Huu wimbo kwakweli mimi umenichosa kabisa!