Nikisema kuna wababa wanapenda watoto wao...this is what I mean

Du! Niliiona sana nikaipotezea; naona mtambo wako ume ku alert kuwa umetajwa humu.

Halafu na wewe kwa nini hukunistua,

Wewe hujui madhara ya uzee na especially mambo yanapofanyika kabla ya dinner?

Nashukuru kwamba NN mwenyewe katustua ili tusiendelee kufanya makosa zaidi..

Kuna kipindi (siyo siku moja) niliachwa kuandika neno moja la kizungu kwa makosa hadi nilipostuliwa nilijisikia vibaya.

Haya tuendelee na mada NK,

Babu DC!!
 
Ndo hivo tengeneza clip unaweza ukatoka...Lol.

Ila this is more than doing homework together au kutembea kwenye zoo pamoja;

Ukiiangalia vizuri utagundua nachosema.

Kuna wanaume wengi sana ambao nimeshuhudia kuwa wanakuwa karibu na watoto wao na hata kwenye public kuliko wake zao.

Siku hizi wanaumwa wanaocheza na watoto wao games, kufanya nao homeworks na kutembea nao kwenye maeneo ya watoto kucheza ni wengi sana.

Labda tuanze kutengeneza video!!

Babu DC!!
 
mzee mzima upo?

Heshima yako.

Naona mzee mwenzio mtambuzi kawa kijana, bado natafakari kama anafaa kuingia sokoni.

Huyu Mtambuzi naona bado anataka kuendelea na michezo ya kupiga guitar na dogo badala ya wajukuu...

Wenzie sasa hivi tunafanya kazi ya kufundisha wajukuu kuwinda njiwa na siyo kuchora chora cryons!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ndo hivo tengeneza clip unaweza ukatoka...Lol.

Ila this is more than doing homework together au kutembea kwenye zoo pamoja;

Ukiiangalia vizuri utagundua nachosema.

Nakubaliana na wewe NK,

Ila kwenye post yako ya kwanza hukutueleza ujumbe wako ulikuwa upi...

Ndo maana wengine tukashangaa kwamba mbona kile tunachoweza hata kama ni kucheza mpira wa matambara twacheza??

Naomba uendelee kutupatia basi reflection yako ili na sie tupate shule,....!

Babu DC!!
 
Babu DC kumsaidia mtoto homework ni kitu cha lazima...lakini siyo enjoyable kwa watoto wengi; including mwanangu. Na akiwezi kusema kinaongeza ukaribu kati ya mtoto na baba...zaidi kinaongeza power distance.

Zile za 'zima katoon hiyo njoo ufanye homework'...mtoto unadhani anapenda hata kama ni for his/her own good?

Emu muangalie huyu mtoto alivyojengewa confidence ya kusimama mbele za watu kibao na kuongea huku akihoji juu.

Sorry NK,

Mbona naona kama huyu jamaa na binti yake wako kikazi zaidi?

Nahisi kama naona kile ambacho niliwahi kusimuliwa kuhusu mzee Williams na binti zake Serena & Venus,

Babu DC!!
 
Hata kama yuko kikazi...kumtrain mwanao kwenye kitu chochote ambacho ni funny doing kunaongeza ukaribu kuliko kusema um-train kuwa say doctor...si unaona hata kina Serena wako close na daddy wao.

Mimi hawa nimeona walianza kuimba tu kama baba na mtoto...wakaona they can do more...ndio hivyo tena wanatoka sasa.

Mbona kuna wengi tu wana clips You tube...lakini hazina ile chemistry tunayo iona kwa hawa wawili.

Kuna Harusi moja hapa hapa Bongo Muji kasoro bahari...niliona kijana alikuwa anaoa; mama wa huyo kijana ana watoto wawili wote wa kiume...walienda kumuinua mama yao kuyarudi ...yani you could see jinsi wanavyo enjoy the rythim...inapendeza; mtu unasema kabisa these people used to dance together si leo tu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hata kama yuko kikazi...kumtrain mwanao kwenye kitu chochote ambacho ni funny doing kunaongeza ukaribu kuliko kusema um-train kuwa say doctor...si unaona hata kina Serena wako close na daddy wao.

Mimi hawa nimeona walianza kuimba tu kama baba na mtoto...wakaona they can do more...ndio hivyo tena wanatoka sasa.

Mbona kuna wengi tu wana clips You tube...lakini hazina ile chemistry tunayo iona kwa hawa wawili.

NK,

Kuna fani nyingine ni burudani na zinavutia sana watoto....Ndo maana kwenye hili imekuwa rahisi baba kumnasa mwanae.

Hivi kama mie ni plumber.....naweza kumvutia mwanangu tukafanye naye kazi hata kama tuna chemistry ya kutoka sayari nyingine??

Babu DC!!
 
nyumba kubwa tuko wengi bana. Cheki hiyo video ya Dark City akiyarudi na mwane siku ya harusi yangu. Baada ya hapo ilibidi nikachukue dancing lessons fasta!

Speechless,

Ahsante sana mkuu EMT kwa kukaribia kunitoa machozi...

Wengine fani zetu ni ngumu sana kumvutia mtoto na pia hatuna hizo talents kama hawa waheshimiwa!!

I wish I could...Ila nitamwomba siku moja Bibi atengeneze clip moja na wajukuu kwa sababu najua yeye anayaweza haya mambo!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Muwege na extracurricular activities...ambazo zitakuwa fun kwa watoto pia...sio fundi muashi ukitoka hapo Bar...

Cheza basket ball na wanao, imba, cheza nao foot ball etc.

Ikishindikana basi chezeni hata karata.

NK,

Kuna fani nyingine ni burudani na zinavutia sana watoto....Ndo maana kwenye hili imekuwa rahisi baba kumnasa mwanae.

Hivi kama mie ni plumber.....naweza kumvutia mwanangu tukafanye naye kazi hata kama tuna chemistry ya kutoka sayari nyingine??

Babu DC!!
 
Muwege na extracurricular activities...ambazo zitakuwa fun kwa watoto pia...sio fundi muashi ukitoka hapo Bar...

Cheza basket ball na wanao, imba, cheza nao foot ball etc.

Ikishindikana basi chezeni hata karata.

Mbona nimeshakwambia kuwa tunacheza nao au kama hatujui kucheza tunafanya nao matembezi ya kuchangamsha mwili...Au kuendesha baiskeli...Hiyo haitoshi?

mimi wanangu huwa tunafanya modelling na kutengeneza nguo za midoli!kuna wakati nacheza nao rede na mdako!my girls are my shostis kwa kweli!
nice thread!
 
Inatosha as long as wana enjoy doing it (with you...Lol)

Ukiona kuna wakati wanakukumbusha baba leo basikeli vipi? jua wewe ni dad, siyo father.

Maana kuna watoto wana prefer kuwa na marafiki than their fathers.

Mbona nimeshakwambia kuwa tunacheza nao au kama hatujui kucheza tunafanya nao matembezi ya kuchangamsha mwili...Au kuendesha baiskeli...Hiyo haitoshi?

Babu DC!!
 
Vipi kuhusu baba yao;

Maana najua mara nyingi watoto wa kike wana chemistry zaidi na baba zao; wa kiume na mama zao...

Mfano mi wanangu nawaona kabisa wana pay attention kwangu zaidi kuliko kwa baba yao...kwa kuwa wote ni wa kiume;

Nikiwafokea wananikimbilia...baba yao akiwafokea bado wananikimbilia mimi...am a friend they trust.

mimi wanangu huwa tunafanya modelling na kutengeneza nguo za midoli!kuna wakati nacheza nao rede na mdako!my girls are my shostis kwa kweli!
nice thread!
 
Vipi kuhusu baba yao;

Maana najua mara nyingi watoto wa kike wana chemistry zaidi na baba zao; wa kiume na mama zao...

Mfano mi wanangu nawaona kabisa wana pay attention kwangu zaidi kuliko kwa baba yao...kwa kuwa wote ni wa kiume;

Nikiwafokea wananikimbilia...baba yao akiwafokea bado wananikimbilia mimi...am a friend they trust.
sisi watoto wetu wamejikuta au siju tumejikuta tumegawana yule mkubwa yupo karibu sana na baba yake,yu can imagine hata chupi ikimbana alikuwa anamwambi baba chupi imenibana,mdogo yupo sana kiziwanda na mama pembeni,ila still wen it cums to ishu kama mnataka kwenda sehemu flani na baba au na mama wanakimbilia na baba!
yani binti yangu mkubwa na baba yake mpk huwa tunamwita dadababa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom