Nikisema kuna wababa wanapenda watoto wao...this is what I mean

Mh, nyumba kubwa hii inavutia, lakini wanaotumia simu hawataona kitu....labda ungembatanisha na maelezo kidogo kuhusu hii link...

Lakini nachelea kusema wapo watakaokuja na kusema ni kinyume na mafundisho ya dini zao............
 
Last edited by a moderator:
Sasa na hiki kitochi you tube ntaingiaje?

Mie nimeangalia.
Ni baba anapiga gitaa na binti yake wa miaka nadhani mitano anaimba huku akisaidiwa chorus na baba yake, ni wimbo mzuri wa miondoko ya POP kama sikosei.. (Uzee huu bana... hata sijui aina ya miondoko ya kisasa, sie tulizoea salsa na charanga)
 
Dini gani tena Mtambuzi...

Hao wenye tochi wasubiri jumatatu wakienda job. Lol.

Maana hii ni clip ambayo haiwezi kuelezeka kwa maandishi ni mpaka uingie You Tube tu.

Mh, nyumba kubwa hii inavutia, lakini wanaotumia simu hawataona kitu....labda ungembatanisha na maelezo kidogo kuhusu hii link...

Lakini nachelea kusema wapo watakaokuja na kusema ni kinyume na mafundisho ya dini zao............
 
Ni nzuri NN,

Ila mbona ni ya kawaida sana hii??

Au kuna kitu cha ziada ulitaka kutueleza!

Babu DC!!
 
Mie nimeangalia.
Ni baba anapiga gitaa na binti yake wa miaka nadhani mitano anaimba huku akisaidiwa chorus na baba yake, ni wimbo mzuri wa miondoko ya POP kama sikosei.. (Uzee huu bana... hata sijui aina ya miondoko ya kisasa, sie tulizoea salsa na charanga)

Hivi walikuwa wanasemaje wenye wimbo?

Tusaidie ndugu yangu Mtambuzi!!

Hivi baby kalala au umeamua kujongo?

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi walikuwa wanasemaje wenye wimbo?

Tusaidie ndugu yangu Mtambuzi!!

Hivi baby kalala au umeamua kujongo?

Babu DC!!

Baby yuko hapa pembeni yangu ametoa macho huyo......

Nimesikia hako kabinti kakiimba ule wimbo maarufu wa...

"Ana ana anado......"
 
Si ya kawaida ndio maana imekuwa na viewers 22 milioni...si wa baba wote wanaweza kufanya kitu serious na watoto wao wadogo wa umri huo...

Ndio maana nikasema huu ndio mfano wa baba anaeympenda mtoto wake.

Ni nzuri NN,

Ila mbona ni ya kawaida sana hii??

Au kuna kitu cha ziada ulitaka kutueleza!

Babu DC!!
 
Si ya kawaida ndio maana imekuwa na viewers 22 milioni...si wa baba wote wanaweza kufanya kitu serious na watoto wao wadogo wa umri huo...

Ndio maana nikasema huu ndio mfano wa baba anaeympenda mtoto wake.

Labda mie ndo nina tatizo,

Mbona tunafanya mengi dada yangu?

Babu DC!!
 
Sijasema kuwa yeye ni the only person on earth anayefanya hivyo..au huku kwetu hakuna wanaofanya hivyo...ila nimeona ni mfano mzuri wa wababa wanaopenda watoto wao.

Na kuna wasio kuwa na time regardless wana access au hawana ya kuweka mambo yao public (nikiwa namaana hata wadhungu wapo wasiokuwa na upendo na watoto ndio maana nadhani kati ya hao milioni 22 walioipenda clip wengi watakuwa westerners)

My dad ni mmoja ya wababa wanaopenda watoto wao....hivyo hii clip imeni remind me of my childhood...ingawa hatujawahi kuwa na clip ya maisha yetu.

sema wenzetu wana access ya kuweka hadharani wanayowafanyia watoto wao

huku hakuna access hiyo, ila silent heros wapo tele.
 
Du! Niliiona sana nikaipotezea; naona mtambo wako ume ku alert kuwa umetajwa humu.

QUOTE=Nyani Ngabu;4814291]Nyumba Kubwa = NN?[/QUOTE]
 
Sema 'nafanya mengi' siyo 'tunafanya mengi'

Kuna watu wakitoka kwenye pombe watoto wakisikia gari basi wanatawanyika kwenda kulala hata kama hawana usingizi....wanamwachia mama msalaba wake...

sema wenzetu wana access ya kuweka hadharani wanayowafanyia watoto wao

huku hakuna access hiyo, ila silent heros wapo tele.

Kuna wanaume wengi sana ambao nimeshuhudia kuwa wanakuwa karibu na watoto wao na hata kwenye public kuliko wake zao.

Siku hizi wanaumwa wanaocheza na watoto wao games, kufanya nao homeworks na kutembea nao kwenye maeneo ya watoto kucheza ni wengi sana.

Labda tuanze kutengeneza video!!

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom