Nikisema ikulu imejengwa 'bondeni' nitakuwa nimekosea?

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
37,898
43,806
Kuna vitu ambavyo ni absolute na kuna vitu ambavyo ni relative.

Ninaposema kwamba sehemu flani imejengwa 'bondeni' its only relative kwa maana nafanya ulinganisho na Nyumba zilizojengwa katika level za juu zaidi.

Sasa basi relatively na Nyumba zilizopo kwenye miinuko ya mbezi na kimara ikulu iko bondeni Sana.

Sasa tuambiwe, Nyumba zonazovunjwa ni za mabondeni au zinazokumbwa na mafuriko au vyote viwili?
 
Last edited by a moderator:
Mnaoishi bongo kaz mnayo. Anyway kuna individual development komaeni tu survival for the fittest!

Tanzania chini ya CCM kamwe siyo nchi ya kujivunia.
 
Hivi nyie si ndo mnataka kuanzishiwa ukaguzi wa permit toka Kastrup Malmö!!
Mkuu mimi hapa niko toka 2009. Ni asset kwenye hii nchi. Kodi nayoilipa serekali ni karibu 3m madafu kwa mwezi. Nanikitaka nachukua mkoba.
 
Nishida hiii bongo yetu, waliwapatia huduma zote muhimu kama umeme, maji na watendaji wa wajibike
 
Msondo waliimba maradhi yote ugua lakini kuchacha usiombee. Jamaa amekurupuka na hoja ya hovyo baada ya kupigwa mifukoni.
 
D

duh, kaka kumbe watu ni majirani kabisa humu, unamfahamu mpaka huyo mzee wa Serikali ya Mtaa?

Hahaha unamjua huyu mzee hatari tena alikua m/kiti Serikali ya mtaa nasikia kazira ni msiba asee
Yaani, majirani nyie acheni tu...huyo Mzee nafahamu ni 'hatari' kweli...niliwahi kukaa kwenye 'viunga/mitaa' yake mwanzoni mwa awamu ya tatu ya utawala wa nchi hii.
 
Yaani, majirani nyie acheni tu...huyo Mzee nafahamu ni 'hatari' kweli...niliwahi kukaa kwenye 'viunga/mitaa' yake mwanzoni mwa awamu ya tatu ya utawala wa nchi hii.

Haaa, duh kweli balaa, hope huwa tinapigana vikumbo mitaani, hii ndio JF bwana
 
Humpendi huyu aisee wale mabaka mabaka hata kutembe ule upande wao ni shida


ha ha haa... yeye si anajifanya mbabe na mwanaharakati, asiishie tu kwenye keyboard ajitolee awe shujaa na atakumbukwa daima
 
Back
Top Bottom