Nikisema hivi kamwe sikosei

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Kikwete ndiye anayeeneza na kusambaza chuki za kidini.
Amekuwa akibagua watu na kuwatenga kati ya wakristo na waislamu.
Moto umekuwa ukipamba kila kukicha.
Mpasuko unaongezeka.
Kuna baadhi ya vijana wanapewa mafundisho kuwa historia ya uhuru wetu uliletwa na waislamu ila wakristo wameinyang'anya historia hiyo na kuivuruga.
Wanadai kuwa wakristo wanawafunga jela waislam na kuwatesa.
Jamani, huko twendako ni kubaya, mwanasiasa huyu ana maslahi yake binafsi na hii kitu anayoiita udini, lakini athari zake ni mbaya kwetu na kizazi kijacho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom