Nikisafisha uke kwa kidole unakuwa unabana (tight)

zen

Senior Member
Feb 6, 2016
106
94
Salam natumai nyote ni wazima..jamani nlikuwa naomba msaada dharuri nahitaji jibu la ili swali langu kuhusu kusafisha uke kwa kidole ....ninapotia kidole na kutowa utoko wote nahisi uke unabana na unapobaki na utoko bila kusafisha kwa kudole hutowa harufu na kuwa loose?sasa ni kipi sawa kutisafisha kwa kidole au kuacha kama kulivo?
 
kama unatoa utoko una harufu wewe ni mgonjwa, consult your doctor immediately.
 
Usijiingze vidole huko jisafishe juu tuu uke huwa unajisafisha wenyewe na kuweka uchafu kwa juu hapo ndio usafshe ukiingza madole marakwamara utapata infection yeyote bcze unakuwa unaondoa ile acidity ya uke ambayo ndio mlinz wa bacteria pia fungus watakupata kuwa msaf tu mara kwamara na kubadlsha chupi hata 3,,4 kwa siku hapo hata kuingia chumvini ntaweza kidume mimi
 
uke kubana si ndo safi jaman...!!!
au me cjakuelewa unabana kwa style gan!?
unabana kias kwamba mashne haipiti? au hauenjoy unaumia? hebu elezea vizuri..
vingnevyo cjaona logic ya swali lako.. kasafisha uke na kubana kwa uke havina uhusiano kabisa..
au ndo kitu business, ckukuu hii.. watu tuchangamkie fursa.. natania..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom