Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Ilikuwa usiku Majira ya saa 2 za usiku nikiitazama Tv yangu, kujua nini kimejiri katika nchi yangu yenye Dereva maarufu kama "dereva wa Lori"...,sikuwa nasababu ya kutotokwa machozi baada ya kuna mamia ya watu wakiwaaga mashujaa wetu (askari 8) waliopoteza maisha wakilitumikia taifa kuilinda amani ya nchi yetu na ikiwa ni pamoja na dereva wetu.
Kilichonishangaza nikumuona dereva wetu akipiga tumba,katika viwanja vya wanafunzi wa elimu ya juu,kuzindua majengo kazi ambayo ingefanywa na waziri mwenye dhamana huku akiacha simanzi kubwa kwa majemedari wetu,ambao wao namimi tulidhani angehairisha shughuli zote kwenda kutoa heshima za mwisho kwa askari hawa muhimu kwa taifa letu,naamini hata huko waendako nyuso na mioyo yao ingekuwa na faraja kuu
Napata shida kuona Derava wetu anapenda kupigiwa makofi na vigelegele,huku akiacha wapambanaji wa mstari wa mbele kuwa na maswali mengi juu ya udereva na utu wake kwao na kwa taifa,hapa naukumbuka msemo wa wahenga usemao "ukitaka kujua tabia ya mtu mpe cheo"
Hapa sasa napata majibu kwanini FARU anapotea anatafutwa mpka na vikosi maalumu ,binadamu BEN SAANANE haijawahi hata Defender kujazwa mafuta kwa lengo la kumtafuta kijana huyu asie na hatia mbele za uso wa Mungu ,hata mungu akampa ujasiri wa kusimamia anacho kiamini.
Hatukuzaliwa kushindwa,bali kushinda ndio maana hata mfalme wa wafalme Yesu kristo ameishinda mauti ,haimaanishi hakupitia vita laah hasha!! alipita katika majaribu mengi ili kutimiza agano lake litimie.
BEN popote ulipo amini,utazaliwa upya na watesi wako wamekaribia kuchoka kukushikilia kwa maana,hatulali usiku na mchana tukikutafuta kwa njia nyingi za kibinadamu na za rohoni.
Ewe mtanzania leo kabla ya kitu unachotaka kufanya sema neno kwaajili ya ndugu yetu BEN.
Mtanzania Mzalendo
Edward Simbeye