Nikipewa lift na mwanamke napaswa nikae mbele au nyuma?

Kwanza ukipewa lift wewe kaa nyuma ndio sheria na unatakiwa ujitahidi kama aliekupa lift ndio mwenye gari basi umfanye awe na furaha muda wote yaani umpe story za kumchekesha wakati huo huo ujitahidi kumsifia sana
 
Hizi coments za mtu mmoja, au!???


Sijawahi omba lift aisee .maana naelewa naishi na mtu gani..never! Mimi 100% nawapa wanafunzi

Hivi kwanini mnawazaga ujinga tu...yaan ww mkeo asipewe lift kisa? Ila umaskini huu mbaya sana....unajua inachosha

Akili zinawaza ngono masaa 24, hata kusaidiwa usafiri tu, watu wanawaza uwezekano wa ngono kuwepo, sasa sijui ukiwa nyuma ndio hamuwezi kutongozana?
 
Mimi sikai nyuma, mbele ukute mdada kavaa kimini chake kimekalia juu paja zimepakwa mafuta zinang'aa huku anaendeshe, sio poa hata!
 
Gari imepata hitilafu leo. So, wife wa jirani hapa kanipa lift sababu sote ofisi zetu zipo Posta. Nimekaa zangu siti ya mbele.

Cha ajabu wafanyakazi wenzangu wameniona wanadai nimekosea kukaa mbele. Wanadai nilipaswa kukaa nyuma.
Una mpango wa kupanda hiyo lifti mpaka lini au kwa lugha nyingine gari yako unategemea itapona lini?

maana sikuona haja ya kutujulisha kwamba gari yako imeharibika.
 
Kuna dada mmoja tupo naye kazini. yeye hataki shida akimpa lift mwanaume anakupa funguo yeye analala.
huu uongo wa mchana, anajuaje kama anayempa lifti anajua kuendesha kwa usahihi na ana leseni halisi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom