Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

Mtazamo wako haupo sawa

Hi Tanzania unayoiona Leo msingi wake aliujenga Mwinyi

Kutokaka katika SOCIALISM kwenda katika CAPITALISM

kutoka katika DEMOCRACY ya chama kimoja kuenda katika DEMOCRACY ya vyama vingi

Kama utamsifia mkapa kwa kukusanya kodi vizuri basi tambua kuwa hiyo miundombinu iliyomfanya Mkapa akusanye kodi ilijengwa na Mwinyi

Mwinyi hakuweza kukukusanya kodi kwa sababu hivyo vyanzo vya kukusanya kodi havikuwepo

Kulikuwa hakuna viwanda vya uzalishaji

Kulikuwa hakuna makampuni kama voda ,tigo na Airtel

Kulikuwa hakuna wafanya biashara wakubwa kama akina Bakharesa, Mo, na akina Mengi

Mwinyi ndio akawatengeneza hao wote hatimaye kazi ya Mkapa ikawa raisi sana

Mimi Mwinyi nampa 100% ya mafanikio
Pumbavu kama wangu hauko sawa anzisha wako ulio sawa na nadhani nilishaonya mapema tu kuwa Mtazamo wangu huu Uheshimiwe.
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
SAUTI TOKA NJIKANI ILISIKIKA,'' TULIUZA MASHIRIKA YA UMMA YOTE BILA KUWEKA CHOMBO CHA KUSIMAMIA NA KUFUATILIA WALIO YANUNUA''. VIJANA HAWANA KAZI SASA HIVI, MAMBO NI HOVYO HOVO, CHINGA TOO MUCH EVERYWHERE.
 
Kuujua Uimara na Uongozi bora na Uliotukuka kwa Tanzania hii aliokuwa nao Hayati Rais Mstaafu unahitaji uwe na Akili sana na siyo kama Wewe ambaye bahati mbaya huna ( hauna )

Ukiona GENTAMYCINE namsifia au namkosoa jua ya kwamba kwa 99.99999% nipo sahihi kwani nimebarikiwa Zawadi ya kuwa na Jicho Kali la Kufanya Critical Observation na Situational Analysis.

Nakuomba tu niamini katika hizo Marks.

Mkuu nimesikia una jicho kali !! Nalitafuta hilo jicho lako
 
Kwa nini Nyerere alivyokuwa madarakani hakuruhusu mfumo wa vyama vingi? Kwa nini hakuruhusu demokrasia? Kwa nini aling'ang'ania sera za ujamaa ulioshindwa kutupunguzia umaskini?

Ndyo hyo hyo iliyoileta china the 2nd world economy
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Kapimwe kwanza akili
 
SAUTI TOKA NJIKANI ILISIKIKA,'' TULIUZA MASHIRIKA YA UMMA YOTE BILA KUWEKA CHOMBO CHA KUSIMAMIA NA KUFUATILIA WALIO YANUNUA''. VIJANA HAWANA KAZI SASA HIVI, MAMBO NI HOVYO HOVO, CHINGA TOO MUCH EVERYWHERE.

Hao machinga wa too much everywhere wako sehemu gani? Wakati mumewapora mali zao usiku wa manane
 
Alikua anavaa namba ngapi mwalimu we mshona viatu.

Watu kupotea, genge la wasiojulikana, watu kupiga risasi kwenye makazi y'a viongozi,demokrasia kupigwa nyundo. Ndo unashabikia.

Unangoja wapinzan wafungwe sasa ndo impe asilimia.

Kaa Ukijua ,kila aliefanya maovu dhidi y'a wengine kwa nia ovu baada ya mwalimu wapo FUTI SITA SASA.

hamjifunzi tu nyie ukoo wa KIBWETELE.
Mnadhani tz ni yenu tu. Mdanganyeni na Bi TOZO yatamkuta, maana Mungu si wenu tu.
 
Miaka 23 bila Nyerere, Kuna watu wanasema nchi ya kwao, na wanataka Masoko yaitwe kwa majina ya wazee wao. Anyway, namkubali Mkapa Sana, but kwangu JPM ndo raisi wangu Bora.
 
Back
Top Bottom