Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 3,832
- 3,075
Mazingira ya utawala wa JKN na wengine ni tofauti, huwezi kuwapima kwa kila kitu, labda ungeweka parameters. Wewe umelinganisha nini?Mwinyi 35% ( Alifeli )
Mkapa 75% ( Alifaulu )
Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )
Magufuli 50% ( Alifaulu )
Samia nitampima rasmi ifikapo 2025
ANGALIZO
Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.
Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.
Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.