Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

Kwakuwa tu nimempa 5% huyo JMK au?
Hivi huyo jiwe umempa hizo asilimia kwa misingi ipi?
Mtu aliye kuwa amejaa chuki dhidi ya Tz wenzake kisa tu wametofautiana mawazo naye.
Mtu aliyekuwa amejaa ukabila ,udini,ubinafisi, lugha chafu,unamlinganishaje na nyerere?
 
Kwa nini Nyerere alivyokuwa madarakani hakuruhusu mfumo wa vyama vingi? Kwa nini hakuruhusu demokrasia? Kwa nini aling'ang'ania sera za ujamaa ulioshindwa kutupunguzia umaskini?
Mrengo wa ujamaa hauruhusu kabisa kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi, Kama viongozi wetu waliamua kuufuta basi ilikuwa ngumu kuleta mabadiliko ya haraka, mpaka 1992 Nyalali commission ilipofanya mabadiliko ya kutoka chama kimoja mpaka vyama vingi, ila kumbuka kipindi hiki ndio vuguvugu la kuvunjika kwa umoja wa nchi za kijamaa duniani USSR, na kufanya nchi zote za kijamaa kubadilisha mtazamo wa kidunia.
Nadhani kimaandishi tunamfumo wa vyama vingi lakini kiuharisia bado sana kwa matendo yanayooneka

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kama mtu anazingua atapewa kinachostahili. Unaweza kuona kuua jambazi ni dhambi lakini ambaye alifikiwa na jambazi ataona kapeka kinachostahili
Kuua sio kosa ila je mchakato ulifuatwa mtu kasema phd yako feki si unamshitaki na kutoa ushahidi .benya satisa aligwa live na kwa mkono wake bila fair trial
 
Naona pamoja na Kustaafu Kwake hivi sasa mmemuongezea Ulinzi wake tena mkubwa kama ule aliokuwa nao alipokuwa Rais.

Mwambieni M23 wapo na Wamezaliana.
Jaribuni kutaka kufanya figisu zenu. Muulize kwa nini wapinzani wa kagame walioko Tanzania hawauwawi! Kwa sababu anajua akifanya upuunzi wake ndaninya Tz ndiyo mwisho wake wa kukaa madarakani! Hata kama akiendelea kuwa kibaraka wa magharibi wa destabilize iirani zake!
 
Huwa ninapenda mno Watu very Brainy kama Wewe na ambao huwa mna Akili za Kunielewa GENTAMYCINE kwa haraka Threads zangu hapa JamiiForums ambazo kwa 100% huwa ni 'Philosophical' tupu zinazopelekea wenye Akili fupi au wasiokuwa nazo Kutonielswa na kubakia Kunichukia.
Uzur ni kwamba waelewa wakikuelewa inatosha
 
Jaribuni kutaka kufanya figisu zenu. Muulize kwa nini wapinzani wa kagame walioko Tanzania hawauwawi! Kwa sababu anajua akifanya upuunzi wake ndaninya Tz ndiyo mwisho wake wa kukaa madarakani! Hata kama akiendelea kuwa kibaraka wa magharibi wa destabilize iirani zake!
Hopeless huna ukijuacho kaa tu Kimya.
 
Mrengo wa ujamaa hauruhusu kabisa kuwepo kwa mfumo wa vyama vingi, Kama viongozi wetu waliamua kuufuta basi ilikuwa ngumu kuleta mabadiliko ya haraka, mpaka 1992 Nyalali commission ilipofanya mabadiliko ya kutoka chama kimoja mpaka vyama vingi, ila kumbuka kipindi hiki ndio vuguvugu la kuvunjika kwa umoja wa nchi za kijamaa duniani USSR, na kufanya nchi zote za kijamaa kubadilisha mtazamo wa kidunia.
Nadhani kimaandishi tunamfumo wa vyama vingi lakini kiuharisia bado sana kwa matendo yanayooneka

Sent from my Infinix X652 using JamiiForums mobile app
 
Kuua sio kosa ila je mchakato ulifuatwa mtu kasema phd yako feki si unamshitaki na kutoa ushahidi .benya satisa aligwa live na kwa mkono wake bila fair trial
Kwahiyo una uhakika kwamba alipigwa live. Kuwaondoa wafanyakazi wenye vyeti feki inauhusiano gani na PhD ya muheshimiwa
 
kufeli kwa kikwete ilikuwa ni jambo jema kwa waTanzania kwa sababu sera na itikadi za Nyerere zilikuwa za ovyo
 
Nyerere 20% aliua sana kuzidi wote magu anasubiri ,ila magu kwa mkono wake benyo alipiga bastola yeye mwenyewe vya fake phd,kikwete nampa 70 ila hakuwa serios na kodi drug lords na hakujua tz kujenga ridhwan kuwa rais haipo haitatokea wala january (kidogo huyu karekebishwa na kuwa harassed na magu (mi chawa wake) ila aache umjini
Anayemchukia Nyerere ni Taahira sana.
 
Wapi nasema namchukia alileta vya magu akaokolewa na kina marandu huyu mpinzan (usalama) au hujui uingereza ndo ilimrudisha madarakan akatia mamigodo tulia kijana
You know nothing so just keep your Pig Mouth like Shut okay?
 
Back
Top Bottom