Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

Mkapa 75%? Mkapa ni mmoja wa maraisi wa hovyo Sana
Katika awamu yake nchi iliingia mikataba ya ajabu sana
Kuujua Uimara na Uongozi bora na Uliotukuka kwa Tanzania hii aliokuwa nao Hayati Rais Mstaafu unahitaji uwe na Akili sana na siyo kama Wewe ambaye bahati mbaya huna ( hauna )

Ukiona GENTAMYCINE namsifia au namkosoa jua ya kwamba kwa 99.99999% nipo sahihi kwani nimebarikiwa Zawadi ya kuwa na Jicho Kali la Kufanya Critical Observation na Situational Analysis.

Nakuomba tu niamini katika hizo Marks.
 
Kwa nini Nyerere alivyokuwa madarakani hakuruhusu mfumo wa vyama vingi? Kwa nini hakuruhusu demokrasia? Kwa nini aling'ang'ania sera za ujamaa ulioshindwa kutupunguzia umaskini?
 
HuyubYaani magufuli amzidi kikwete??we utakuwa kwenye ubongo wako Ile sehemu ya kufikiri imeoza

Yaani magufuli amzidi kikwete??we utakuwa kwenye ubongo wako Ile sehemu ya kufikiri imeoza
Huyu jamaa ni Mtusi na pandikizi la kagame! Sasa ana chuki na Kikwete baada ya kuwatimua warudi kwao! Na ameshaanza kimuandama mama. Lakini Muda utafika tutamaliza Kazi ya kikwete na kuifanya Tanzania Tusi free!
 
Kuna watu mmeshindwa kumwelewa pole I
Huwa ninapenda mno Watu very Brainy kama Wewe na ambao huwa mna Akili za Kunielewa GENTAMYCINE kwa haraka Threads zangu hapa JamiiForums ambazo kwa 100% huwa ni 'Philosophical' tupu zinazopelekea wenye Akili fupi au wasiokuwa nazo Kutonielswa na kubakia Kunichukia.
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
Sishangai Pro kagame na Mnyarwanda kumchukia Kikwete
 
Mama ana
Huwa ninapenda mno Watu very Brainy kama Wewe na ambao huwa mna Akili za Kunielewa GENTAMYCINE kwa haraka Threads zangu hapa JamiiForums ambazo kwa 100% huwa ni 'Philosophical' tupu zinazopelekea wenye Akili fupi au wasiokuwa nazo Kutonielswa na kubakia Kunichukia.
Pole huyu wa viii eiterree
 
Huyu jamaa ni Mtusi na pandikizi la kagame! Sasa ana chuki na Kikwete baada ya kuwatimua warudi kwao! Na ameshaanza kimuandama mama. Lakini Muda utafika tutamaliza Kazi ya kikwete na kuifanya Tanzania Tusi free!
Naona pamoja na Kustaafu Kwake hivi sasa mmemuongezea Ulinzi wake tena mkubwa kama ule aliokuwa nao alipokuwa Rais.

Mwambieni M23 wapo na Wamezaliana.
 
Nyerere 20% aliua sana kuzidi wote magu anasubiri ,ila magu kwa mkono wake benyo alipiga bastola yeye mwenyewe vya fake phd,kikwete nampa 70 ila hakuwa serios na kodi drug lords na hakujua tz kujenga ridhwan kuwa rais haipo haitatokea wala january (kidogo huyu karekebishwa na kuwa harassed na magu (mi chawa wake) ila aache umjini
Kama mtu anazingua atapewa kinachostahili. Unaweza kuona kuua jambazi ni dhambi lakini ambaye alifikiwa na jambazi ataona kapeka kinachostahili
 
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.

Alafu wewe jamaa ni hatari lakini nakubaliana na wewe
 
23 Reactions
Reply
Back
Top Bottom