Nikipewa Karatasi ya Kusahihisha Swali la Marais waliovivaa vyema Viatu vya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere haya ndiyo Majibu yangu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
43,208
2,000
Mtazamo wako haupo sawa

Hi Tanzania unayoiona Leo msingi wake aliujenga Mwinyi

Kutokaka katika SOCIALISM kwenda katika CAPITALISM

kutoka katika DEMOCRACY ya chama kimoja kuenda katika DEMOCRACY ya vyama vingi

Kama utamsifia mkapa kwa kukusanya kodi vizuri basi tambua kuwa hiyo miundombinu iliyomfanya Mkapa akusanye kodi ilijengwa na Mwinyi

Mwinyi hakuweza kukukusanya kodi kwa sababu hivyo vyanzo vya kukusanya kodi havikuwepo

Kulikuwa hakuna viwanda vya uzalishaji

Kulikuwa hakuna makampuni kama voda ,tigo na Airtel

Kulikuwa hakuna wafanya biashara wakubwa kama akina Bakharesa, Mo, na akina Mengi

Mwinyi ndio akawatengeneza hao wote hatimaye kazi ya Mkapa ikawa raisi sana

Mimi Mwinyi nampa 100% ya mafanikio
Pumbavu kama wangu hauko sawa anzisha wako ulio sawa na nadhani nilishaonya mapema tu kuwa Mtazamo wangu huu Uheshimiwe.
 

Wakabambee58

Member
Aug 14, 2020
90
125
Mwinyi 35% ( Alifeli )

Mkapa 75% ( Alifaulu )

Kikwete 5% ( Alifeli vibaya )

Magufuli 50% ( Alifaulu )

Samia nitampima rasmi ifikapo 2025

ANGALIZO

Mtazamo wangu huu Uheshiimiwe na kama kuna unayempenda mno hapo na Amefeli halafu Umechukia tafuta Sumu ya Panya hapo ulipo Korogea Unywe ili upotee mazima.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tunakukumbuka sana Baba ( Babu ) na Watanzania, Waganda, Wanyarwanda, Wasumbiji, Wazimbabwe, Waburundi Wabotswana, Wanamibia, Wakongo ( zamani Zaire ), Wanaijeria, Waghana na JamiiForums Members wenye Akili ( Great Thinkers ) wote kwa pamoja wanakukumbuka ( tunakukumbuka ) sana.

Roho yako izidi Kulala mahala pema Peponi Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ila huku nyuma sasa yale uliyoyakemea kama Rushwa, Ukabila, Mmomonyoko wa Maadili, Elimu Duni inayozidi tu Kuzalisha Mipumbavu ( Mipopoma ) mingi sasa ndiyo yameshamiri.
SAUTI TOKA NJIKANI ILISIKIKA,'' TULIUZA MASHIRIKA YA UMMA YOTE BILA KUWEKA CHOMBO CHA KUSIMAMIA NA KUFUATILIA WALIO YANUNUA''. VIJANA HAWANA KAZI SASA HIVI, MAMBO NI HOVYO HOVO, CHINGA TOO MUCH EVERYWHERE.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom