Nikiona kwapa la mwanamke navuta taswira fulani.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikiona kwapa la mwanamke navuta taswira fulani..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kashaijabutege, Jan 3, 2011.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mie nikiona kwapa la mwanamke huwa napata taswira ya kiungo chake cha uzazi. Yaani huwa napata hisia na kuumba picha yake akiwa uchi. Nikiona kale kajasho kanatiririka, mie hoi...Binafsi nashauri kina mama waheshimu makwapa yao maana, nafikiri kuna wanaume wengine wenye hisia kama zangu.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  asante kwa ushauri.....tumekusikia
   
 3. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  hahaaaa haaaaa
  kwapa inafananaje na ile kitu jaman?
  so ukiona jasho wafananisha na nin?
  mmh aya
  from today stop katamikono.
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  preta avatar yako leo dahh..utamfanya mpenda makwapa aseme NIKIMUONA MWANAMKE KAVAA CHUP MIGUUN NAPATA PICHA...
   
 5. Mamushka

  Mamushka JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2011
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 1,609
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh kazi ipo.
   
 6. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  he he he....JF hapaishi vituko....Happy New Year
   
 7. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #7
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kama kidogo....chupi tusianike zikaonekana makwapa pia jamani jashi ndi tatizo kabisaaaaaaaaaaaaaa
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hawa wanaume sijui wanatutaka nini .......hebu tuundeni tume ya uchunguzi.........khaaa....kila siku siye tuu.....jamani
   
 9. M

  Mama Big JF-Expert Member

  #9
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 488
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Preta huo ni ukweli uliowazi kabisa wanaume wakiingia baa bia ya kwanza na ya pili wanaongea biashara na kazi pesa n.k zilizobaki wanaongelea wanawake na chupi ****** matiti na kila kitu cha mwanamke including TIGO
   
 10. N

  NKUU Member

  #10
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiona hivyo ujue tunawapenda sana na kuwafikiria mda wote
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  if so guuuuuuuuuuuuuud then
   
 12. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #12
  Jan 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  mi ntakuwa mweka hazina wa TUME.
   
 13. N

  NKUU Member

  #13
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukiona hivyo tunawapenda nakuwajali,tume haisadii ukweli ndo huo
   
 14. N

  NKUU Member

  #14
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tuvumilieni tu
   
 15. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  na hapo ndio huwa wanaharibu kila kitu
   
 16. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #16
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  halafu wewe, mi nikiona masikio tu!!!!!
  nafikiria nini sijui aaaahhh....................
   
 17. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #17
  Jan 3, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Preta, vibaya hivyo kwa watoto wa wenzio. Hiyo avatar ndiyo inaua kabisa, afadhali uonyeshe kwapa. I think it is pschological phenomena. Ninaganda kabisa nikiona avatar yako.
   
 18. N

  NKUU Member

  #18
  Jan 3, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hivi unajua mnapower sana kwetu?
   
 19. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #19
  Jan 3, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  wanaharibu nini Preta, wakati nyinyi ndo mnaruhusu hayo mazingira!!!
   
 20. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #20
  Jan 3, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  hazina haitazingatiwa sana.......utendaji wa vitendo ndio utakuwa muhimu.....
  oooh....yah hazina......kwa ajili ya malipo ya GYM kwa wanachama.....
   
Loading...