Nikioa nitazama uvinza!!.

Ndio ninao, ila bado hujaleta proof kwamba HPV inasambazwa kwa kudeki bahari pekee. Nshakwambia leta proof sio maneno.
worry out maswala ya kitabibu na kitaalamu huwa sikurupuki maana si ligi hii ila sehemu ya kupeana yaliyo mazuri hasa katika mambo nyeti ka haya ya afya, ntakuja nayo mkuu huna haja ya kuwa na haraka
 
Mm sijapotosha kwani kuna ulazina gani wa kuzama chumvin?
Achana na hayo kuna ugonjwa flani hv waitwa HPV (Human Papiloma Virus) bwana we ni balaa haufai ukimwona yule mgonjwa cidhani kama utarudia kudeki tena, jaribuni kugoogle nilikuwa na picha zake nikapoteza simu ni balaa wapendwa lkn utakuta walimwengu wanadeki mpaka 0715...
utatamani kuendelea kudeki k kwa ulimi
Kwa hiyo quote yako ya juu, kwa mtu asiyekuwa na ufahamu mzuri kuhusu jambo hilo atasema na milele atafikiria HPV ni gonjwa la wapiga deki tu na yeye kwa sababu hafanyi oral sex basi yupo salama, Je ni kweli ama uongo?
Kuhusu kuzama chumvini hayo ni matakwa ya mtu, kama wewe hupendi basi usifikiri kila mtu hapendi wala usiwatishe.Elimu uliyotoa wewe ni 10% kuhusu HPV asilimia 90% ya njia zingine ambazo waweza pata HPV uliziacha wapi?
 
worry out maswala ya kitabibu na kitaalamu huwa sikurupuki maana si ligi hii ila sehemu ya kupeana yaliyo mazuri hasa katika mambo nyeti ka haya ya afya, ntakuja nayo mkuu huna haja ya kuwa na haraka
Katika watu wasiokuwa na haraka nadhani mimi ni mmoja wao mkuu, ukileta scientific proof yoyote HPV inasambazwa kwa kunyonya papuchi pekee tag me.
 
Ah wap shogangu ..kila mtu ana jiugonjwa lake .ugonjwa wangu naujua..tena usinifanye nikashindwa kufanya kazi ...lol..yaan ukitaka ushindwe kns kusex na mm lazimisha hayo mambo..napoa kbs..alafu nakuaga na nguv kbs za kuondoka...!ht ubembelezje nakuwa niko off tayar..hapana aisee

Kazi kwel kwel
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom