Nikinywa pombe silewi tatizo ni nini?

MASEBUNA

JF-Expert Member
Oct 9, 2011
243
54
Mimi ni mtumiaji wa pombe kwa muda wa miaka 26 hivi kwa muda wote nimekuwa nikinywa castle lager kama pombe niipendayo na mara chache sana pombe kali na wine wakati nasoma O-Level nilikuwa nakunya mara chache weekend na siku ya shughuli nyumbani au shule, nilipo kwenda A-Lavel Mazengo sec kidogo intake iliongezeka kwani weekend karibia zote nilikuwa nakunywa na mara chache katikati ya wiki nilipokwenda chuo pale DIT nakumbuka siku nisipo kumywa nakuwa kama mjinga na mbaya sana nilikuwa siwezi kufanya mtihani bila ya kupata kidogo nakumbuka ikifika ijumaa nilikuwa nakuwa kama mwenda wazimu kama nikiwa sina hela

Baada ya kumaliza chuo nakumbuka niliamua kupunguza kunywa baada ya kuobwa sana na familia na nilipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi hata week mbili au mwezi ulikuwa unapita bila kunywa wakati huo nafanya kazi.

Tatizo la lunywa kila siku lilianza tena muda mfupi kabla ya kuoa na mpaka sasa naweza kunywa castle lager 15 nikanchanganya na konyagi lakini silewi zaidi ya kuchamka kidogo basi.
 
Beer hazikufai,kunywa whisky na wine lakini home msosi uwepo.Sio unakunywa afu unakula ugali maharage zitakurudi.kama huna pesa kunywa gongo.
 
Hakuna ulazima wowote kwa wewe kunywa pombe, unaharibu bajeti ya familia yako, nakushauri uiache mara moja.

Ebwana jitahidi upunguze maana kiafya pombe ni hatari. Mimi mwenyewe napambana kupunguza kunywa. Mi sinywi sana ila nakuwa na kahamu hamu kiaina dah pombe soooo
 
mh. masebuna HONGERA kwa kuhitimu unywaji pombe. Nakushauri ukachukue fomu za kujiunga na elimu ya juu zaidi ... UNGA!
Nahakika 'furaha' yako itarejea kama zamani. God bless you.
 
Wewe ni mwenzangu kabisa, ila mimi nilishatoka kwenye beer muda mrefu sana
siku hizi natandika viroba kwa kwenda mbele kila siku lazima nifyonze viroba
14 hapo ndipo napata usingizi safiiii
nakushauri chomoka kwenye bia njoo upande wangu
 
Muda wote wa miaka 26 ukinywa castle lager? kama sikosei, castle lager haijafikisha umri huo kwa TZ! Labda kama ulikua unaletewa kutoka South!
 
Pepo la ulevi, utabalisha vilevi vyote lakini haitakusaidia.

Angalia badget yako ya ulevi ilivyo nzuri:-

Castle 15 x 2000.00 = 30,000.00
Konyagi 1 x 5000.00 = 5,000.00
Castle 10 x 2000.00 = 20,000.00 kwa marafiki
Jumla 55,000.00

Kwa mwezi 1,650,000/=
 
tengeneza cocktail mwitu.
Viungo ni kama ifuatavyo
castle lager 3
safari 2
konyagi vimobitel 2
sminorf 1/2 chupa
wanzuki lita 2
banana chupa 1
coca cola 1

halafu kunywa coctail hii iishe ndani ya nusu saa.
Hapo tatizo lako litakwisha kabisa,kwa ushauri zaidi tembelea ofisi yangu.kwa dar niko uwanja wa fisi.arusha napatikana matejoo na kambi ya fisi.
 
Unataka alewe au afe kibudu....so they say in pare hills.
 
Pepo la ulevi, utabalisha vilevi vyote lakini haitakusaidia.

Angalia badget yako ya ulevi ilivyo nzuri:-

Castle 15 x 2000.00 = 30,000.00
Konyagi 1 x 5000.00 = 5,000.00
Castle 10 x 2000.00 = 20,000.00 kwa marafiki
Jumla 55,000.00

Kwa mwezi 1,650,000/=

acha kumtishia mwenzako wewe.
Kunywa ni bidii kujenga ni bahati!
 
Kama ulewi tatizo liko wapi? Au safari zako za kwenda ATM zimepungua???

Ndo madhara ya kutoka kwenye whisky na wine au konyagi na vodka kisha unahamia gafla kwenye chibuku unategemea atalewa kwa kunywa choya au mbege?
 
Beer hazikufai,kunywa whisky na wine lakini home msosi uwepo.Sio unakunywa afu unakula ugali maharage zitakurudi.kama huna pesa kunywa gongo.

Kiukweli nimejaribu sana hizi pombe kali baada ya kushauriwa na watu kadhaa tatizo ni lili lile tena afadhali nianze na bia then nipate japo toti 2 au 3 kidogo lakini nikinywa kali nalazimika kunya bia 2 mpaka tatu ili kidogo nipate usingizi.
 
Hakuna ulazima wowote kwa wewe kunywa pombe, unaharibu bajeti ya familia yako, nakushauri uiache mara moja.

Ni kweli mkuu na hilo ni tatizo ndiyo maana natafuta ushauri na kushare na watu last week nilipewe ushauri na moja ya walioniambia nikushare na watu juu ya tatizo langu na wengine ambao wanatatizo kama hilo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom