Nimenunua kitu kwenye ebay, cost plus shipping ilikua USD 128.
Sikujua kama natakiwa kulipa kodi bse ni kitu kama kazawadi tu, nilipoenda kuchukua parcel yangu nikatakiwa kulipa 99,000 kama kodi.
Kwa muda nilisimama pale kuna watu kama wanne walichukua laptops bila kutozwa chochote, na wengine parcel zao walikua wanapewa tu moja kwa moja bila hata kufunguliwa
Hii inanifanya niamini kuwa kuna baadhi ya vitu havitozwi kodi, sasa kuna camera nimeiona katika ebay, nimeipenda nataka kuinunua lakini sijui kama camera zinachajiwa kodi na kama zinachajiwa itakua kiasi gani