Nikinunua Camera USD 300 kodi itakua sh ngapi?

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Nimenunua kitu kwenye ebay, cost plus shipping ilikua USD 128.

Sikujua kama natakiwa kulipa kodi bse ni kitu kama kazawadi tu, nilipoenda kuchukua parcel yangu nikatakiwa kulipa 99,000 kama kodi.

Kwa muda nilisimama pale kuna watu kama wanne walichukua laptops bila kutozwa chochote, na wengine parcel zao walikua wanapewa tu moja kwa moja bila hata kufunguliwa

Hii inanifanya niamini kuwa kuna baadhi ya vitu havitozwi kodi, sasa kuna camera nimeiona katika ebay, nimeipenda nataka kuinunua lakini sijui kama camera zinachajiwa kodi na kama zinachajiwa itakua kiasi gani
 
Online shopping kwa bongo bado ni tatizo, vitu vya namna hiyo hakuna specific amount ya kodi, isipokuwa ni yule assecer ndio anakukadilia kodi.
 
Ungesema nae kikubwa mbona ungelipa hata alfu 5 tu,
Kuliko ulipe kodi iende ikatumike Igunga kununulia kura 1 kwa Tshs laki 1, bora hiyo hela ubaki nayo tu ikusaidie vitu vinine hapo kwako.
 
Hapa Bongo ni magumashi matupu kuna siku nimeenda kuchukua box lilikuwa na chocolate na Pipi tu dah jamaa walinichaji 35,000/= nilishangaa sana nikajisemea kwa kuwa ni zawadi kutoka kwa rafiki yangu Dussedolf Germany nitaichukua lakini ingekuwa namna gani ningeipotezea
 
Wadau naomba kusaidiwa,naamani kununua vitu ebay lakini naogopa vinaweza visifike,je ni njia salama kwa kwetu bongo?
 
Nimenunua kitu kwenye ebay, cost plus shipping ilikua USD 128.

Sikujua kama natakiwa kulipa kodi bse ni kitu kama kazawadi tu, nilipoenda kuchukua parcel yangu nikatakiwa kulipa 99,000 kama kodi.

Kwa muda nilisimama pale kuna watu kama wanne walichukua laptops bila kutozwa chochote, na wengine parcel zao walikua wanapewa tu moja kwa moja bila hata kufunguliwa

Hii inanifanya niamini kuwa kuna baadhi ya vitu havitozwi kodi, sasa kuna camera nimeiona katika ebay, nimeipenda nataka kuinunua lakini sijui kama camera zinachajiwa kodi na kama zinachajiwa itakua kiasi gani

Wadau naomba kusaidiwa,natamani kununua vitu ebay lakini naogopa vinaweza visifike,je ni njia salama kwa kwetu bongo?
 
Wadau naomba kusaidiwa,natamani kununua vitu ebay lakini naogopa vinaweza visifike,je ni njia salama kwa kwetu bongo?

Usiogope, vinafika ila jaribu kuweka anwani mbayo inauhakika wa wewe kupokea mzigo wako.Nimenunua maranyingi na nimefanikiwa kupata mizigo yangu. Kazi njema.
 
Asante sana basi ntajaribu kununua kwanza kitu kidogo ili nijenge confidence then niendelee na vitu vikubwa! Nashkuru kwa ushauri
 
Back
Top Bottom