Nikimuacha mwanamke kwa kutoa namba kwa mwanaume, nitakua nakurupuka?

Maleven

JF-Expert Member
Sep 8, 2019
622
2,769
Ikiwa mtu anajua fika kuwa huyo mwanaume anamtaka, kisha akampa namba, binafsi naichukulia kama nia ya wazi ya kusaliti in the near future

Je kumpiga chini ni uamuzi wa kukurupuka? Moja ya utetezi wake ni kua ameghafilika na hata mimi naweza kughafilika

Nilijaribu kumsamehe ila katika mazungumzo akaniuliza et je akirudia tena itakuaje, swali hili nimeshindwa hata kulijibu naona nimdump tu

Je nitakua nimechukua maamuzi ya haraka?
 
Kwisha Habari Yako
Chukua Ushauri Aliowahi Kuutoa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania.
Tafuta Mtu Mwingine 😄😃
 
Pole sana mkuu, binafsi huwa sina majibu kwenye maswali ya kijinga mfano wa hilo swali alilokuuliza et endapo akirudia tena utamfanya nini...
 
Mwanamke anaachwa kwa Uchawi na Uzinzi tu..hayo mengine ni maamuzi yako/yenu.
 
acha kujishtukia man hujakurupuka hapo uko sahihi kabisa...rudisha kwao hiyo beberu ya kike
 
Mmmh utata mtupu....mwanamke hatakiw kuwa hvo kuna ile self respect..amekukosea sana..halaf mwanamke kujiheshimu it dont cost a thing maana ile kujiheshimu humfanyii mwanaume au unajiheshinu ili kumplease mwanaume noo..mwanamke unatakiwa kujiheshimu na kuwa expensive kwa sababu mwili akili na nafsi yako inataka uifanyie hvo...

Ila pia unaweza kukaa nae na kusema nae kwa kina ukichekecha mitazamo yake
 
Kuna wakati wanawake wanatoa namba kwa ajili kuepusha usumbufu wa mwanaume kila akikutana nae kung'ang'ania kutaka namba ya simu kwa hiyo anaona bora atoe ili hiyo kero ikome.

Jiulize hujawai kupewa namba na mwanamke alafu ukimtafuta unakuta hajibu SMS wala calls zako, hiyo nikumaanisha we ulikuwa msumbufu kwake na alishindwa kukujibu vibaya kwa hekima yake ameona bora akae kimya utakuja kujua hutakwi na mwisho siku utapotezea.

Sasa sijajua kwa mpenzi wako hiyo namba huwenda alitoa katika mazingira hayo cha msingi ifwatilie huwenda nothing can happen.

Mpende uliye nae hayupo mkamilifu.
 
Mwanamke nikimwomba namba akanipa huwa anani motivate kuwa yuko tayari ni mimi tu kumalizana nae.
 
Back
Top Bottom