rehema shabani
JF-Expert Member
- Aug 31, 2018
- 216
- 90
Naombeni ushauri jf mm namaliza 4m 4 karibuni nilikuwa naomba ushauli kenu nikimaliza nifanye kazi gani ambayo itafaa kwa muda mfupi hadi matokeo ya toke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huku unatafuta nini??Naombeni ushauri jf mm namaliza 4m 4 karibuni nilikuwa naomba ushauli kenu nikimaliza nifanye kazi gani ambayo itafaa kwa muda mfupi hadi matokeo ya toke
aiseeSasa huku unatafuta nini??
Ukimaliza tafuta bwana akupe mimba masha yasonge mbele..!
Ngoja nikushauri mdogo wangu, sijajua umeuliza hili swali ukifikiria nini...namaanisha sijui hali ya familia yenu kiuchumi. Nitakushauri mambo matatu.
La kwanza, unaweza jiendeleza kielimu kama utapata mdhamini...hii namaanisha unaweza jiandaa na pre form five na ukasoma pia computer course ili shule ikianza uwe unajiweza. Usiidharau shule.
La pili, unaweza jifunza ujasiriamali maana sa hivi watu wengi wanafundisha...hapa ni kama utakuwa hutaki shule au ada imekata, jifunze tengeneza sabuni za maji, mafuta, mishumaa, makorokocho mengi yanafundishwa sikuhizi...
La tatu, kama kwenu kuna fridge unaweza anza tengeneza barafu (lamba lamba) kwa ajili ya watoto...hii itakusaidia kupata hata ela ya kununua vocha, mafuta etc...kama hakuna fridge waweza anza tengeneza vitafunwa na kuuza (ingawa inahitaji ujasiri)
Cha mwisho, mdogo wangu usidanganyike na hizi suruali!! Hawa watu watakurudisha nyuma.
Safi sanaNgoja nikushauri mdogo wangu, sijajua umeuliza hili swali ukifikiria nini...namaanisha sijui hali ya familia yenu kiuchumi. Nitakushauri mambo matatu.