Nikiliona au kulisikia silipendi

Hashpower7113

JF-Expert Member
Sep 26, 2011
1,353
2,137
Kuna baadhi ya matangazo nikiliona au kulisikia huwa najisikia vibaya sana siyapend kama dume condom, airtel wamekata, kiukwel yametengenezwa hovyo sana, tupia na wew yanayokuboa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Mmmmmmh airtel + dume
 
Unawezaje kushawishika kukopa bank mkopo wa miaka mitatu ili akamalizie likizo na familia yake South Afrika? ni ujinga!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom