Nikilalia ubavu wa kushoto nahisi maumivu

Albert Magesa

New Member
Jul 25, 2021
4
2
Ninapolala hasa nikilalia upande wa ubavu wa kushoto nahisi maumivu sehemu ya Kati ya mbavu na tumbo.

Mgongoni hasa maeneo ya kiuno huuma nanapokaa muda mrefu au kuonana

Napata haha kubwa ngumu.

Je, ni dalili ya ugonjwa gani?
 
Experience
Mimi nilishawahi kulala kwenye kochi kwa kupitiwa nikalalia upande huo wa kushoto niliumwa sana kama wiki mbili nikaacha kulalia upande huo na nikarudi kawaida hadi sasa silaliagi huo upande tena.
Muone dkt kwa uchunguzi zaidi.
Note
Usilalie upande wa kushoto lala upande wakulia au chali, hayo ndio mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w)
 
Back
Top Bottom