Nikikutana na mwanamke nikijaribu kuvaa condom, uume hausimami

Guys, habari zenu,

Mi sijui tuseme ni tatizo au ni nini, nikikutana na mwanamke kimapenzi, nikijaribu kuvaa condom, mashine haisimami kabisa ila nipige peku, nachochea haswa. Mnisaidie, kwani sometimes napataga zile game za show time zisizo na point, ni lazima nivae jezi.
We una nyota ya ukimwi sio bure
 
Tatizo hilo inasemekana wanalo watu wengi na hasa marudio ya pili. Ushauri wangu oa achana na uzinzi
Hata wake zetu si waaminifu kama unavyofikiri. Wengi wakeukwaa Ukimwi toka kwa wake zao. Njia ya kufanya ni kuvaa hata kwa mkeo
 
Back
Top Bottom