Nikikupa Millioni 20 Utazifanyia nini?

Mtanganyika

JF-Expert Member
Jul 18, 2007
1,601
945
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
 
millioni 20 plus 25%. unaingia porini,unalima Bangi,unafanya processing kuwa sigara,unahonga upate vibali vya serikali,then matangazo kidogo then unaleta sokoni. simple bizness no longo longo.

Else unaenda china unaleta mtambo wa gongo,unpata vibali unafanya pakaging ya viroba vya gongo yako,biashara zote huwa hazina negative sales
Wajasilimali wa JF, swali langu ni simple. Nataka kukupa Millioni ishirini, jee utaziwekezaje? Masharti ni kwamba ndani ya miaka mitatu nataka nusu ya mtaji wangu, na asilimia 25% ya kampuni yako.

Niambie Millioni ishirini utawekeza wapi?
 
nitaoa mme wa tatu, nitanunua vitanda 6x6, nitawanunulia wake zangu tv set kila mmoja pamoja redio za maana, nitawanunulia mabaibui, kanga, cheni na pete za ukweli, nitanunua kanzu za ukweli pamoja na suti, nitalipia kahawa pale kijiweni ya mwezi mzima..kama kutakua na cheji nitamfungulia genge bi. mkubwa...
 
Duh kwaiyo umeoa na kuolewa au?
 
Wajasilimali ndio kina nani?

Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.

Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!
 
Nitafungua Duka la vifaa vya Electronics vikiwemo vya solar power baada yamwaka 1 nitakuwa nimerudisha pesa yote.
 
Kitu unachoweza kufanya nikuangalia wewe mwenyewe unajisikia kufanya nini, tofauti kati yakufanikiwa na kutofanikiwa ni msukumo ndani ya mtu.unaweza kufanya vitu vingi pamoja na hayo waliyo kushauri hapo kwanza, ila nafikiri ufanye hayo baada ya kuzalisha mali na kurudisha mtaji na riba.
kama unakopa 25% iko juu kidogo,biashara za kuunga nishiwa bila msukumo binafsi unaweza shindwa.
 
Kwa milion ishirini mai drim ya kumdeti Anti Ezekiel wili kam truu! Mkuu fanya hima nipatie hizo pesa, nitakurudishia bila longo longo yeyote...
 
nitawekeza kwenye burudani
nitanunua vifaa vya kisasa vya kupiga mziki wa dj
full equipments then nitakuwa napiga tenda kwenye maharusi, masherehe, naandaa ma party naandaa matamasha
so kila week end nahakikisha naingiza si chini ya laki 8
 
Vichenchede wa ccm hao. Akili zao zinawatosha wao tu.
Wajasilimali ndio kina nani?

Kuandika vizuri kunakushinda utaweza kweli kuwa na millioni ishirini? na kama kweli unazo tuoneshe ulivyozipata na kodi ulizolipa. Ukishindwa basi hizo ni fedha za wizi na unataka kuzihalalisha kwa kutuletea humu tukupe maarifa.

Kama kweli ni hivyo, kaziwekeze CHADEMA huko ndio kunakufaa!
 
Kwa hakika kama hujajipanga mwenyewe juu ya umiliki wa hela hizo pamoja na matumizi yake, ni wazi hata tukikusaidia kupata kazi ya kufanyia hutaweza kwa kuwa wazo halijatoka kwako. Mchanganuo wa biashara ni muhimu. Omba msaada huo na siyo kuuliza swali ufanyie nini
fedha
 
ningemtafuta dc wa igunga Fatuma Kimario aniuzie nguruwe katika wale anaowafunga.afu niwafanyie mchakato wa kurost pork,nifanye packaging ya kg1,na kg 1itakuwa $7.5 kisha nipeleke Egypt,Libya ,Tunisia,Algeria ,Qatar ,UAE, NA KUWAIT...kule hii bidhaa adimu mkuu...Nipe basi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom