Uchaguzi 2020 Nikikumbuka janga la Corona, Watanzania tusipomchagua Dkt. Magufuli bila shaka Mungu atatushughulikia kivingine

Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Hebu chunguza wale wote wanaokutwa na corona walikuwa wanaumwa? Wachezaji soka tunasikia wanakutwa na korona lakini hawaumwi.
Kwa hiyo tunamshukuru Mungu kwa sababu hatuumwi na si kwa sababu virusi hakuna.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Wakati korona imechachamaa watu wanahaha, watu wanazikwa usiku ni nani alikimbia kwenda kujificha Burigi huku akichungulia dirishani?
Nani alikua akiapisha viongozi akiwa kajificha wakiwa wawili tu kwa kuogopa korona? bora ungesema Ummy apate kura ila kwa Jiwe mpigie kura tu wewe usiwapangie wengine.
 
Pia mnakosea sana kumuhusisha rais na issue ya corona. Sifa na utukufu apewe Bwana. But yeye rais kama haenendi katika haki hatuwezi mchagua.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Na ni huyo huyo Mungu alimfanya Magufuli ampige Lisu risasi 38? Na 16 kumingia? Muwe mnasema yote. Na ndiyo huyo Mungu alimwambia awateke akina Ben Sanane na kuwaua? Ndiyo huyo Mungu alifanya police ya Magufuli wamuue Akwilina na Mwangosi?

pathetic
 
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue

Huyu atakuwa mwana wa Mungu. Si ungependekeza awe rais wa Marekani kabisa ili akawe rais wa dunia na tz ikiwamo?
 
Ila katika hili la Corona hatuwezi kujua ni nini Lissu angefanya kama angekuwa rais,maana kwa sasa ni wazi Lisssu pamoja na wapinzani kiujumla walikuwa wakipiga kelele za kisiasa tu wakati kwenye suala la Corona na ndio maana utaona wanachokifanya sasa wakati wa kampeni ni tofauti na misimamo waliyokuwa kuhusiana na corona.
 
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Katili sana huyo
 
Magufuli kwa kupitia watu wasio julikana Ameua watanzania wengi kuliko corona
 
Homa ya dengue iliondolewa kwa maombi ya nani, atusaidie pia maombi ya kuondoa ukimwi, kansa, malaria, bila kusahau, kisukari, magonjwa ya moyo maana yanatafuna sana..
 
Kumbuka.

"Man without God can not, and God without man will not"

"Mnyonge mnyongeni ila haki yake apewe"

Kama kuna nyakati Mungu alishawahi kuzungumuza na watanzania kwa namna isiyoyakawaida kupitia kiongozi wa kitaifa naamini Mara hii amezungumza na tz nakila mtu bila shaka hakuna ambaye hakumwelewa labda tu kwa wale wanaopinga kila mtu.

Ukijaribu tu kufikiria kama bwana yule angekuwa ndiyo yeye mkuu wa nchi sjui tungekuwa vipi Leo na janga hilo.

Ifike mahali tujue kuwa kuna watu wanakuja kwa wakati na majira sahihi tuwaache watimize makusudi ya Mungu aliyowawekea mioyoni mwao.

Nakumbuka Yesu aliulizwa swali fulani akajibu "Kwa ajili ya haya nalikuja"

Tufike mahala tukubali kuwa kuna watu huja kwa specific issue
Umwewaza kama mimi mkuu
 
Mkuu si ya kwamba Mola katuepusha na kikombe hicho cha COVID-19, kwa sababu kupitia rehema zake hakutaka kutuongezea mzigo mwingine vichwani mwa Watanzania zaidi ya huu wa CCM ambao umetuelemea kwa muda mrefu.
 
Ubaguzi wa maendeleo anaufanya na kuutangaza kwenye kampeni zake ni Corana mbaya kuliko hii iliyopo, angekuwa ña Mungu asingeshindwa kuamrisha polisi kuwasaka watesi wa TL, Azory, mawazo na Ben Saa8. Ubaguzi na roho yake ni mbaya kuliko Corona, Bora nikachambie hiyo ballot paper kuliko kuweka tick yangu kumchagua mbaguzi km huyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom