Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,792
- 6,768
Habari za siku
mwaka unaisha sasa lakini nataka kuoa. kinachonishangaza pamja na uchakaramu wangu wa kuzunguka huku na huku lakini nimekikosa hichi
Tangia nibalehe na nianza kuwinda wanawake sijawahi kupata BIKRA au NISWATI kabisa. Mara ya mwisho nilitulia na demu wangu tangu nikiwa advance lakini nikakuta ashatumika. Mwingine nilimpata tukafikia hatua ya kumtamulisha nyumbani nikiamini nitafunga naye ndoa kumbe ana mahusiano na yule aliyemdungua. yaaani na shida tupu. sasa nataka kutulia lakini roho inaniambia nimpate yule QUEEN NISWATI ndo nitulie.
nilichoamua ni bora niendelee tu kumtauta nikimpata basi ndo nitaacha uzinzi na kuoa na kuutangazia ulimwengu sasa nimeacha uasherati