Nikija kusikia haya!

Jile79

JF-Expert Member
May 28, 2009
17,668
13,236
Nikija kusikia kuwa chenge/lowasa amekuwa spika wa bunge kama wengi wanavyotabiri basi nitakuwa wa kwanza kuhamasisha maandamano ya nchi nzima ya amani au yasiyo ya amani........nikishindwa kabisakwa sababu ya watz tulivyo basi nitahama nchi...
 
heri wewe ambae utahama....sisi tunaobaki itakuwaje?

:fencing::fencing::fencing::fencing::fencing::fencing:
 
Usihame tafadhali mapambano hayana budi kuendelea mpaka kieleweke,sasa ukihama nani ataendeleza mapambano?mpiganaji hapaswi kukimbia wala kukata tamaa,,,,aluta continua
 
Mi simo maana rmondi itajadiliwa tena!itaundwa tume nyingine itakuja hoja nyingine ya kusafishana, we acha tu patamu hapo!
 
kwa rais yupi?.........huyuhuyu mkwere mlinda mafisadi,thubutuuuuuu
Mi simo maana rmondi itajadiliwa tena!itaundwa tume nyingine itakuja hoja nyingine ya kusafishana, we acha tu patamu hapo!
 
J79 mie nilifikiria wewe ni mvumilivu wa kula mbivu! Hapa hakimbii mtu mpaka kieleweke, tuko pamoja mkuu!tutafight ktk ardhi waliotuachia mababu mpaka mwishooooo!!:A S-devil1::fencing:
 
Back
Top Bottom