Hahaha......Kwanini ikuume mwenye mke haimuumi angalia yakwako ndugu
Mkuu unaweza tuelezea kitaalam tokeo fertilization mpaka delivery jinsi huyo mtoto atakavofanana?Inakuuma kivipi mkuu!? mbona mwenye mke tabasamu nono, harafu utafiti unasema kuwa mwanamke mwenye mimba, mtoto anaweza kufanana na mtu yeyote anaempenda au anaekua karibu sana nae kipindi ana mimba, awe kaka, mdogo wake, mjomba, nk. Unaweza ukampa ujauzito mkeo harafu kipindi ana mimba akatokea kumpenda sana mwigizaji frani labda mzee majuto, amini mtoto akizaliwa akiwa wakiumme atafanana kwa kiasi frani na huyo mzee majuto.