Nikiiangalia hii picha roho inaniuma sana

sajumo

JF-Expert Member
Nov 20, 2013
1,832
1,048
66cd8fed6734b41e5416d3b3a12deb2b.jpg

Ni muda mrefu toka hii picha isambae katika mitandao ya kijamii ila mpka leo nikiiangalia roho inaniuma sana
 
Inakuuma kivipi mkuu!? mbona mwenye mke tabasamu nono, harafu utafiti unasema kuwa mwanamke mwenye mimba, mtoto anaweza kufanana na mtu yeyote anaempenda au anaekua karibu sana nae kipindi ana mimba, awe kaka, mdogo wake, mjomba, nk. Unaweza ukampa ujauzito mkeo harafu kipindi ana mimba akatokea kumpenda sana mwigizaji frani labda mzee majuto, amini mtoto akizaliwa akiwa wakiumme atafanana kwa kiasi frani na huyo mzee majuto.
 
MBONA KAMA HUYO MTOTO ANAFANANA NA HUYO MCHUNGAJI??
Ndio sababu yamaumivu ya moyo wangu alaf hako kajananke kanakenua wallah nataman ningeuvaa uhusika japo kwa dakika tano then kungepatikana maiti mbili za fasta
 
Inakuuma kivipi mkuu!? mbona mwenye mke tabasamu nono, harafu utafiti unasema kuwa mwanamke mwenye mimba, mtoto anaweza kufanana na mtu yeyote anaempenda au anaekua karibu sana nae kipindi ana mimba, awe kaka, mdogo wake, mjomba, nk. Unaweza ukampa ujauzito mkeo harafu kipindi ana mimba akatokea kumpenda sana mwigizaji frani labda mzee majuto, amini mtoto akizaliwa akiwa wakiumme atafanana kwa kiasi frani na huyo mzee majuto.
Mkuu unaweza tuelezea kitaalam tokeo fertilization mpaka delivery jinsi huyo mtoto atakavofanana?
Tupe nondo mkuu hapa tutoe tongotongo

Maana mtoto ana chrosome 46.kutoka kwa baba 23 na kwa mama 23
Hiyo ya kucopy sura kwa kupenda mtu inaathiri vip DNA ya mtoto

Shusha nondo mkuu
 
Mchungaji akafanya yake tayari, dhambi hii haikwepeki kirahisi jamani
 
Back
Top Bottom