physioplus dar Member May 15, 2019 69 23 Aug 6, 2019 #1 ntakuwa nikielemisha kuhusiana na kiharusi . mimi ni daktari wa fiziotherapia
Rudbway JF-Expert Member Jul 14, 2014 293 156 Aug 6, 2019 #2 Dokta tupe elimu japo kwa muhtasari, wngn hatujabahatika kutegea sikio redio muda huo
kalagabaho JF-Expert Member Nov 4, 2010 5,461 5,860 Aug 8, 2019 #3 Kwa hiyo elimu yako unaitoa redioni tu basi huku unaweka tu matangazo sio?