Nikidownload app napotaka kuzifungua ili ni install inagoma

taboa

JF-Expert Member
Feb 9, 2021
399
711
Kwa Sasa nakutaka na hii shida nikidownload app hizo napotaka kuzifungua ili ni install inagoma,shida nini?
Screenshot_20210514-074708.jpg
 
kwa pdf lazima uwe na pdf viewer kama adobe nk.

sijajua hapo hizo apps nyinyine za kubeti zinagoma kuistall au vipi!!!

aina gani ya simu tafadhali??
 
kwa pdf lazima uwe na pdf viewer kama adobe nk.

sijajua hapo hizo apps nyinyine za kubeti zinagoma kuistall au vipi!!!

aina gani ya simu tafadhali??
Zinagoma hizo za kubeti,niliweka PDF viewer nikaishia kufungua hizo PDF tu wakat mm lengo langu ni hizo za kubeti,infinix
 
Zinagoma hizo za kubeti,niliweka PDF viewer nikaishia kufungua hizo PDF tu wakat mm lengo langu ni hizo za kubeti,infinix
inawezekana site unakopakia siko,embu chukua file la meridian ujaribu kama litakataa.
likikubali ujue shida ni unakochukua hayo mafile.
 
Hazifunguki kwasababu ya file extension...android inatumia apk na sio bin..hivyo simu inashindwa kutambua bin files...chakukifanya google file unayotaka kisha malzia na neno apk ,uki download hakikisha imetokea apk mwishon..hapo unaweza install bila shida..mfano andika bet22 apk kisha search google

Sent from my M2101K7AG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom