Nikichaguliwa vyama vya upinzani vitahifadhiwa makumbushok

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,839
7,502
Kauli hii ilitolewa na mgombea nafasi ya uraisi katika hotuba yake ya kwanza baada ya teuzi. Kuzika upinzani ndio sera ya maendeleo ya nchi.Kauli hii ya Dodoma ilinistua sana nikijua kauli ya kwanza ndio iliyojaza moyo wa msemaji. Sasa inafanyiwa kazi.Inafanywa ilani na kupewa kipaumbele kama ilivyotolewa awali kuliko mambo mengine
 
Tanzania hamna upinzani kuna genge la majizi, matapeli na wahuni wa kisiasa.

Jiulize mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Chama hakina hata ofisi, kwao maandamano kwanza maendeleo baadae!!!
 
hakuna chama tawala pia kuna kumhia ya majambazi walio jibatiza chama cha majambazi
 
Tanzania hamna upinzani kuna genge la majizi, matapeli na wahuni wa kisiasa.

Jiulize mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu.

Chama hakina hata ofisi, kwao maandamano kwanza maendeleo baadae!!!
Gharama za Ccm ni zaidi ya kiwango. Kuwahi kusahihishiwa si kufaulu mtihani.
 
Back
Top Bottom