Nikiangalia Tweet ya Rais Trump na ya Rais Magufuli aisee tuna Rais ana akili sana poleni Mafisadi

Vyovyote ilivyo mtu huwezi kuwa be half of ur self unaweza kutuambia inawezekanaje? acha ujinga yaani tokea mmeongezewa Buku 7,500 mmekuwa na mbwembwe kweli
 
Zote sawa mkuu. Ni kama kusema Juma and I went to the market na I and Juma went to the market. Sema ya kwanza hiyo ndio hutumika sana.
Moja ya Kamanda wa Chadema mwenye Akili
 
Hoaxes have been around for centuries, and as crazy as some of them are, people still believe them.
 
Siyo sympathies go ni symoathies goes... Huyu mzee si awe anaandika kiswahili tu
 
Mkuu hata Kusoma Hujasoma angalia hapo kwenye neno "and" Kama umeona kuna Utofauti basis Kwa akili ya Kwako Mbowe na Darasa la 7 atawatawala Mpaka Mnaingia Kaburini.
Basis ndio kitu gani na wewe? Unawaza futari tu.. Mxxxx
 
"On behalf of myself"-Sizonje
"On behalf of FLOTUS Melania"-Trump
Naamini kama akili yako iko sawa utagundua kitu ila kama ndio wadogo zake Bashite mmechukua akili za baba yenu kazi itakua ngumu hapa,ivi kwani ni dhambi kukubali Sizonje lugha ya Malkia haimudu?na sio kujua kiingereza ndio kipimo cha werevu.
Jamaa ni walewale, unapoteza muda. On behalf of myself haiwezekani. Labda utume kivuli chako kikakuwakilishe. Trump alikuwa anamwakilisha mkwewe melania ndo maana akasema on behalf of Melania, hakusema on behalf of ourselves maana yeye alikuwepo naalimwakilisha mkewe. Sasa sijonze ilikuwaje ajiwakilishe mwenyewe? Atumie kiswahili tu wakalimani wapo hawezi kushindwa kuwalipa.
 
Nakukejeliwa na Vijana wa Ukawa (Ufisadini) baada ya Rais Kutweet wakawa wanamkejeli

Mda huu napitia kwenye Ukurasa wangu wa Twitter nakutana Na maneno yaleyale ""
On Behalf of Myself"" Vijana wa Chadema Wanaona siyo Kiingereza Sahihi.

Tweet ya Rais Magufuli Tarehe 26/11/2016 Saa 8:58PM
View attachment 515047

Tweet ya Rais Trump Usiku ambayo Vijana wa Chadema hawatapenda Kuiona aibu kwa Mafisadi.

View attachment 515046

Yaani wewe ndo hujaelewa sasa, usimtetee sizonje lugha ya malkia haipandi.
 
Huwezi kuwa kwa niaba yako mwenyewe kisha ukatenda wewe, lazima atende mwingine ndio iwe kwa niaba. Kwenye kesi uliyotoa kwa niaba ni juu ya Melania tu.
 
Mkuu Vipi deal ya Griezman tunaweza Kumpata?
wanaona siyo kiingerza sababu amekopi neno km lilivo. Huo ni ukasuku.

Weye ulivo mshamba wa lugha unaona hawajui sababu tu.lonard Reagan aliwahi chapia hivo!!

Km hajui ku flow hajui tu. Mpe pole kuba km siyo kubwa.

Hata weye umekariri, kariri tu. Yaani sisi tulio kulia ulaya kaulimi kanateleza tu pyaaaa!

Tena maneno rahisi tu. Km unavoongea. Kilugha chako!! Sasa mtapata taabu sana. Km Hapa utadhani mie nimezaliwa bongo na hkn mtu aliyewahi nikosoa kiswahili changu.badala yake wananikosoa lugha niliyo zaliwa kwayo.
 
Nakukejeliwa na Vijana wa Ukawa (Ufisadini) baada ya Rais Kutweet wakawa wanamkejeli

Mda huu napitia kwenye Ukurasa wangu wa Twitter nakutana Na maneno yaleyale ""
On Behalf of Myself"" Vijana wa Chadema Wanaona siyo Kiingereza Sahihi.

Tweet ya Rais Magufuli Tarehe 26/11/2016 Saa 8:58PM
View attachment 515047

Tweet ya Rais Trump Usiku ambayo Vijana wa Chadema hawatapenda Kuiona aibu kwa Mafisadi.

View attachment 515046

Njaa ishakupanda kwenye ubongo
 
Back
Top Bottom