Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

Team Lumumba. Mlisema wapinzani wanawa chelewesha . Mmewatoa lakini bado safari haifanyiki mnaishia kuwalaumu wapinzani !!!

America na Tanganyika wapi na wapi !!

Odhis *
Kipi kilichokwama?
Uchaguzi umeisha mwezi october2020, na leo ni january 2021.
Au mmekosa sera na kuchanganyikiwa?
Bunge jipya halijakaa hata kikao kimoja!

Chadema mmepoteana na mahali pekee mnapojifariji kwa sasa ni mitandaoni tu.
Poleni sana.
View attachment 1683846
 
1611355397908.png
 
Amefuta sera gani? Muachage ujinga! Hujui hata tofauti ya executive orders na policies na policy making! Yaani viazi kama viazi. Kuna vitu wanafundishaga second year varsity! Hata shule hamkwenda?
Wewe shule imekusaidia nini kama hata ustaarabu tu huna?!

Wewe Bavicha bure kabisa!
 
Back
Top Bottom