Nikiangalia picha za viongozi wa serikali mashambani kwao weekend, nakumbuka mashamba ya Mbowe yaliyovamiwa na wanasiasa wakaua mimea isiyo na hatia

Laana ya kukata mmea ambao bado haujazaa na ambao hujaupanda wewe ni mbaya mbaya sana, Katika ulimwengu wa roho mimea ni viumbe vya Mungu - kwa hiyo hao jamaa waliofyeka hiyo bustani pamoja na aliyewaagiza laana ishawabamba tayari, fuatilia mwenyewe.
 
Back
Top Bottom