D.I.TWakuu samahan nataka kuuliza kati ya DIT na NIT wapi mnanishauri nikasome diploma ya mechanical engineering?
Nawasilisha na Asanten
Kwann DIT kaka?D.I.T
Njoo upate mteremko NIT usome bila stress. Au nenda MUST.Wakuu samahan nataka kuuliza kati ya DIT na NIT wapi mnanishauri nikasome diploma ya mechanical engineering?
Nawasilisha na Asanten
DIT kuna stress kivip mkuu?... ebu naomba nifafanulieNjoo upate mteremko NIT usome bila stress. Au nenda MUST.
Kwanini DIT mkuu,, naomba unielezeeNenda DIT
Ninasikia hivyo kwa wanaosoma huko. Walimu wanakomoa wanafunzi.DIT kuna stress kivip mkuu?... ebu naomba nifafanulie
Je kuhusu kutoa hiyo taaluma c NIT wapo vizuri mkuu?Ninasikia hivyo kwa wanaosoma huko. Walimu wanakomoa wanafunzi.
Kwa nini sio DITDiploma soma vyuo vyote il sio DIT kijana.....hasa jifanye huelw uende DIT utnikumbuka.
kwanini mkuu? Ebu nielezeDiploma soma vyuo vyote il sio DIT kijana.....hasa jifanye huelw uende DIT utnikumbuka.
Uzuri upo kwa mwanafunzi mwenyewe, chuo kina sehemu ndogo sana kukufanya wewe uwe mahiri.Je kuhusu kutoa hiyo taaluma c NIT wapo vizuri mkuu?
Kwahio utoaji wa hio taaluma ni sawa tu hata ukienda DiT au NIT?Uzuri upo kwa mwanafunzi mwenyewe, chuo kina sehemu ndogo sana kukufanya wewe uwe mahiri.
Ni kuwa na uwezo wa kujiongeza kwa kusoma vitu mbalimbali sio kusoma vya darasani tu.
But mimi siko kwenye field ya engineering so siwezi kuwa na jibu murua.
Sielewi,Kwahio utoaji wa hio taaluma ni sawa tu hata ukienda DiT au NIT?
Uzuri upo kwa mwanafunzi mwenyewe, chuo kina sehemu ndogo sana kukufanya wewe uwe mahiri.
Ni kuwa na uwezo wa kujiongeza kwa kusoma vitu mbalimbali sio kusoma vya darasani tu.
But mimi siko kwenye field ya engineering so siwezi kuwa na jibu murua.
Wakuu samahan nataka kuuliza kati ya DIT na NIT wapi mnanishauri nikasome diploma ya mechanical engineering?
Nawasilisha na Asanten
Naomba unielezee kidogo mkuu kwanini NIT?