Nikasema leo niangalie huyu wanaesema Pele alikuaje enzi hizo. Kweli alikuwa nuksi

Sijawahi ona umahiri wa Messi zaidi ya kutunukiwa bahati!
Hana vitu exceptional hata Gaucho hamfikii!
Ajaribu kucheza ligi nyingine tuone! Ndo maana anaigwaya EPL! Na Hapo ndo Cr7 hujizolea misifa!
 
PELE NA MARADONA sawa nawapa heshima yao sana tu. Ndugu zangu wadau wa mpira naomba hao watu wa wili tuwaweke pembeni tuanze na kile tulichoshuudia kwa macho yetu mubashara.

KIGEZO: Mshambuliaji hatari mwenyewe Mazingaombwe.

1: Messi The Magician
2: Ronaldinho Gaucho
Sio mbaya mkiendelea.
 
Sijawahi ona umahiri wa Messi zaidi ya kutunukiwa bahati!
Hana vitu exceptional hata Gaucho hamfikii!
Ajaribu kucheza ligi nyingine tuone! Ndo maana anaigwaya EPL! Na Hapo ndo Cr7 hujizolea misifa!
Kwani mabingwa wa EPL hawajawahi kukutana na Barcelona UEFA?
 
Hapo 1 na 2 Mimi huwa sikubali,manake huwa naona 1 ni 2 na 2 ni 1
Wewe umejikita kwenye ushabiki siyo kiutaalam/kiufundi. Ingia kwenye google na tafuta maelezo mbalimbali ya makocha na wataalam mbalimbali upate uchambuzi kati ya hao wawili. Katika uchambuzi huo, ilihitimishwa kwamba Pele ndiye mwanasoka wa karne!
 
Maradona hakuwa mtu mzuri kabisa. Huyo jamaa alikuwa anapiga cross kwa tiki taka na mpira unafika sehemu husika. Tena mara nyingi alikuwa anazitupia ndani ya kumi na nane afu raia wanamalizia kiulaini kabisa.
Nasikia hata penati alikuwa anapiga kwa kichwa.
 
Wewe umejikita kwenye ushabiki siyo kiutaalam/kiufundi. Ingia kwenye google na tafuta maelezo mbalimbali ya makocha na wataalam mbalimbali upate uchambuzi kati ya hao wawili. Katika uchambuzi huo, ilihitimishwa kwamba Pele ndiye mwanasoka wa karne!
Hamna kitu, his best goals ziko youtube na ni magoli ya kawaida sana.
 
C o kwel,, Pele hakuwah kuwa Nouma dunian!
Na inabid ipite miaka 600 ndo aje tokea kiumbe km Leo Messi
 
Wewe umejikita kwenye ushabiki siyo kiutaalam/kiufundi. Ingia kwenye google na tafuta maelezo mbalimbali ya makocha na wataalam mbalimbali upate uchambuzi kati ya hao wawili. Katika uchambuzi huo, ilihitimishwa kwamba Pele ndiye mwanasoka wa karne!
Ha ha ha ukihitaji hizo comments hutammpata mshindi kati ya hao
 
Kwa kuzingatia mambo haya
1: Dribbling skills
2: Vyenga
3: Asist
4: Kulijua goli
5:Solo run (Kuwaungisha watu tela kama alivyowafanya Madrid baada ya kususiwa pasi na Ghost agent Sergio Bousquet)
6: Kuchana/Kukatiza mazingira magumu kama alivyowafanya Atletico Bilbao kwenye Copa Delay nimesahau mwaka.

MESSI THE FORMULAR THE MAGICIAN.
Navyo hivyo pia vilikuwa ni vigezo vya kumpata mwanasoka bora wa karne, au wa history yote ya soka?
 
PELE NA MARADONA sawa nawapa heshima yao sana tu. Ndugu zangu wadau wa mpira naomba hao watu wa wili tuwaweke pembeni tuanze na kile tulichoshuudia kwa macho yetu mubashara.

KIGEZO: Mshambuliaji hatari mwenyewe Mazingaombwe.

1: Messi The Magician
2: Ronaldinho Gaucho
Sio mbaya mkiendelea.
Gaucho alifunga goli ambalo sijawahi ona maishani. Alimpiga Cheng refa, washika Bendera, mashabiki, kocha wake, kocha wa timu upinzani, wachezaji wote waliopo bench la Barcelona, wachezaji wote wa ndani wa Chelsea, wachezaji wote wa barca Na sisi watazamaji wa TV. sio kwa viuno vile Na ile chop iliyoenda shule. kipa hata hakijishughulisha, goli lilikuwa TAMU mno utadhani orgasm ya nguruwe inayo last kwa zaidi ya nusu saa
 
Navyo hivyo pia vilikuwa ni vigezo vya kumpata mwanasoka bora wa karne, au wa history yote ya soka?
Sijamanisha vigezo vya kumpata mwanasoka bora wa karne au wa historia yote ya soka, ila ni vigezo vya kudhihirisha hatari ya Messi katika mashambulizi na kuchachafya wapinzani ukilinganisha na wengine. Kwa kifupi kwa kuzingatia vigezo hivyo sijaona mwingine Dunia nzima mpaka hivi sasa.
 
Gaucho alifunga goli ambalo sijawahi ona maishani. Alimpiga Cheng refa, washika Bendera, mashabiki, kocha wake, kocha wa timu upinzani, wachezaji wote waliopo bench la Barcelona, wachezaji wote wa ndani wa Chelsea, wachezaji wote wa barca Na sisi watazamaji wa TV. sio kwa viuno vile Na ile chop iliyoenda shule. kipa hata hakijishughulisha, goli lilikuwa TAMU mno utadhani orgasm ya nguruwe inayo last kwa zaidi ya nusu saa
Hahaha haha hahaha hahahaaaaaaa we jamaa unahatari sana. R. Gaucho kwa maana yakudhalilisha viungo na mabeki ni hatari sana. Chelsea tunamfahamu huyo Alien,
1: Alishawahi kutuchezesha boringo motema na ngai.
2: Kuna free kick alishawahi kuipiga dhidi ya Chelsea mabeki wakaruka juu kwa juhudi zote afu mpira ukapita chini ya miguu yao taratiiiiiibu afu nyavu zikacheka.
 
Mimi Mleta uzi nmesomaa comments zoote na kuconclude kua,.
Wengi wamependekeza k5ua lionel Mess ndio the best player of All time....na mim nmehafikiana na hili,....

Asante sana Mkuu kwa kuliona hilo,,, lakini ni wachache sana watakaokuja kukupinga,,, wabongo ndivyo tulivyo. CCM SIIPENDI KAMA NINI lakini acha magu atunyooshe,,, maana tunapenda kupinga kila kitu chenye ukweli mtupu.
 
Back
Top Bottom