Kijiji Balaa
Member
- Nov 29, 2012
- 47
- 10
Jamani sina Balaa ila kama ukilitaka utalipa, naomba ukaribisho kijijini hapa jamani. Stori za huku kwetu ukizitaka nitakusimulia ila sharti uwe na moyo mgumu maana ni za kusikitisha na kuogofya sana.
Karibu sana Kijiji Balaa
Karibu bana pole na safari,vp mshavuna mazao??
Kijiji Balaa karibu sana jamvini.
Karibu sana JF.
Karibu jamvini.
karibu sana kijana ya kijiji balaa
Karibu sana mjini.