Nikanusurika kwenda jela, lakini kikaja kisirani kingine…………

Unajua dada AshaDii, nimejijengea marafiki wengi sana na ndio sababu visa na mikasa vya hao marafiki zangu havinipigi chenga, huwa wananisimulia wenyewe, na mimi kwa umahiri nawasimulia wana JF wenzangu ili tujifunze wote.

Hahahaha..... Tunashukuru Mtambuzi.... Hasa ukizingatia umetupumzisha akina mama kidogo kwenye makala zako matata....lol
 
Nimegundua Bosi wangu (ni mwanamke) ni mwana JF wa siku nyingi, kuna siku nilimsikia akimzungumzia mwandishi anayejiita MTAMBUZI kuwa anamkera kwa kuwaandama wanawake na mada zake humu JF. niliogopa sana na ndio nikaona nibadilishe uelekeo maan siku akijua ni mimi kazi itakuwa kwishnei. kazi tamu dada yangu. huwa najiuliza anaingia humu JF kwa ID gani, maana isije ikawa ni huyu naniliu!
 
Hahahaha.... Kumbe dawa yako ndogo tu eeeh? lol.... Raha ya kua na Boss wakike anae tuwakilisha wanawake!
 
Kuna siku aliwahi kuniuliza kama ninatembea mtandao wa Jamii Forum, nikamjibu kwamba, hata sijui hiyo Jamii Forum ni kitu gani. Siku akijuaaaa..................LOL
 
Mh baba huyo rafiki yako mbona mzinzi hivyo? Alianza na darasa la sita na hakutumia condom.

Miezi mi3 tu akashindwajizuia kumsaliti mkewe, akaanza na mwingine, tena akavuta kabisa akawa kama mkewe!!kumbe mama mkwe!

Si bure kuna somo anapewa ambalo hajaligundua.
 
Na huyo mwingine alimpata wiki ya tatu tu tangu afike hapo Mbeya............Ajabu eh!
Kusema kweli uzinzi ulikuwa ni ugonjwa mkubwa wa huyu Bwana, lakini tukio la kutembea na mama mkwe, likafunga ukurasa wa uzinzi, na amejirekebisha sana kitabia, amekuwa kama mimi Mtambuzi............
 
Afadhali.......
 
:suspicious:
 
Mtambuzi inaonekana umejaa mikosi kwa nini marafiki zako karibu wote wawe na visa kama hivi
 
kwanini nini usiwe mtunzi wa vitabu, ukachukua nafasi ya yule wa vitabu vya ROSA MISTIKA na KINJEKITILE? jina limenitoka kidogo nimeipenda sana hii hadithi ya kutunga. big up...
 
Hii siyo ya kutunga bana.......... We vipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom