Nikaingia choo cha kike! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nikaingia choo cha kike!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Twande, Mar 11, 2012.

 1. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  :A S-coffee:
   
 2. Asabaya

  Asabaya JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 1,319
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Sijaielewa hiyo ebu funguka kidogo tafadhali.
   
 3. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,793
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  The Guy has entered the trees...
  Ila tuendelee kumsikilizia labda atarejea soon..
   
 4. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nimesahau kuweka namba 6!
  Yes just calling Horsepower to finish up the story kabla hatujamuingilia huko ofisini kwenye vikao na lunch zake!

  Nimekuona kuleee kwa yule dada mwenye dilema ya kuwekwa kimada kuja hapa sasa lol. . natafuta choo cha kike namba 6 hola!
  Twajua ulishaona mlango wa cha kiume. .we waiting mkuu. .
   
 5. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanmo umeona ee?

  Asabaya tafuta uzi huo wenye hiyo heading kama tamthilia lol!
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,001
  Likes Received: 476
  Trophy Points: 180
  Acha uku** wewe hapa siyo fb.hii ndio nini sasa .......
  MP.
   
 7. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Weee shika adabu yako tena unaonekana we ndo fb umepata div gani form four wewe? nenda kasome! hata lugha yako inaonesha tu status yako shukuru social networking umeweza hata kuongea na mimi in real life u just a c. . .p to me!
   
 8. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  sa na wew umefanya nin hapa.... hivi nowdays matusi is allowed hapa eheee...
   
 9. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Whatever the case nadhani kuna aina ya matusi si yote siwezi ruhusu mtu from nowhere aniite ivo halafu aende kwa amani kama hao watoa ban hawaangalii source ya tatizo na ukubwa wa tatizo! ndo mana watu hawajifunzi! next time akome kuparamia watu!
   
 10. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,793
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Hutu Tu HorsePower tumeamua kuweka roho zetu juu juu hapa, don't know why..
  Nasubiri kweli nijue alichoongea na mtoto baada ya kupokea simu yake, lol
   
 11. Twande

  Twande JF-Expert Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 31, 2009
  Messages: 543
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Atakuwa anaona uvivu kutype sikutegemea wkend itapita!
   
 12. u

  uporoto01 JF-Expert Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 4,742
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Twande aidha unatumia mihadharati/pombe au unaongea na mtu mmoja anayejua unaongea nini,haueleweki kabisa mkuu.
   
 13. S

  Skype JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mwenyewe nimekaa kimya nikajua huu uzi ni maalum kwa mtu flan yan sijampata vizuri.
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,842
  Likes Received: 5,095
  Trophy Points: 280
  Ngoja nikimikye kidogo maana maumivu ya ban bado hayajapoa.
  Nisije BANISHWA BUREE.

  Huu uzi sijui kama utaisha bila mtu kupigwa Ban
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,711
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  :A S 13::A S 13::A S 13::violin::drum:
   
 16. la Jeneral

  la Jeneral JF-Expert Member

  #16
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 393
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mimi hata sijaelewa uzi na mtoa uzi alikuwa anaandika nini
   
 17. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #17
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,793
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 160
  Wakuu;

  Mwanzisha thread anaizungumzia Hadithi iliyobamba ya HorsePower kule MMU yenye title: "Nikaingia choo cha kike"
   
 18. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #18
  Mar 12, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 493
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ningecoment lakini nakuogopa kupigwa Ban.
   
Loading...