Nijuzeni, Kwanini zisiwepo noti na sarafu zenye picha ya Jakaya Kikwete, Benjamin Mkapa na rais Magufuli? Ianzishwe na noti ya elfu hamsini

Sijui huwa mnakunywa nini?...eti Raisi ni muwakilishi wa Muumba, kwa hiyo kina Idd Amini, Hitler, Bokasa, Mobutu na wengine walimuwakilisha Muumba?
Hats hao Muumba aliwaweka madarakani ili atukuke,huwezi jua huenda vizazi vya nchi hizo vilikuwa na mako's Fulani ndiyo wakaletwa wa kuwaadhibu.pia Rejea maandiko Mungu aliandaa Wafalme ili kuondoa ufalme Fulani wote wake ila lengo atukuke
 
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.

Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
Kadiri uchumi unapokua noti kubwa kubwa zinapungua hela inakuwa sarafu manoti makubwa ni ishara ya uchumi mdogo na kuyumba
 
Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
Kumbe shida yako sio Mkapa/Kikwete bali Magufuli aonekane kwenye noti
 
Kuwa rais si jambo dogo,kwani rais humwakilisha muumba hapa duniani,sasa inakuwaje tusiwaone kwenye hela?kwani wakionekana ktk hela huwa ni kumbukumbu ya kizazi cha Taifa kilichopiga kura kwa wakati huo.

Hata kama ilikuwa azimio la nchi nyingi kutokuwekwa picha ila tunaweza kuamua sisi kama sisi.tuwaone akina Jk,mh.Benjamin William Mkapa na mh.Rais Dr.Magufuli.natumai waheshimiwa wabunge wapya wajao wataanza na hili,pia tunaomba ianzishwe noti ya elfu hamsini kwani tumeingia ktk uchumi wa kati.hongera awamu zote kwa kutufikisha ktk uchumi wa kati.
ebu ngojaaa hii ya rais kumwakilisha muumba umeipata wapi?
 
USD note zina sura za marais wangapi?
Watano mkuu
Dollar 1 George Washington
Dollar 2 Thomas Jefferson
Dollar 5 Abraham Lincoln
Dollar 20 Andrew jackson
Dollar 50 Ulysses Grant

Ila pia kuna dollar 10 Ambayo yupo Alexander Hamiliton First Secretary of treasury na Dollar 100 yupo Benjamin Franklin ambae alikuwa physician pia was amongst Founding Fathers miongoni mwa wale Saba akiwemo Hamiliton pia
 
Yeah sahihi. Hili swali nililenga mtoa mada ajifunze kupitia jibu lake.Wanaokaa mbele ya note mara nyingi ni waasisi au waliofanyia nchi mambo makubwa kipindi nchi husika inajijenga.Yamkini Rais wa sasa au awamu yoyote ile huko miaka ya mbele akaonekana ametufanyia kitu kikubwa kipindi chake kiasi cha kukumbukwa sana. Tutamuweka naye.Ila huu utaratibu wa kubadilisha note kipindi Rais mwingine akiingia madarakani,mtoa mada,haupo!
 
Asante kwa uchambuzi,lakini huoni rais kutokuwemo ktk noti ni kama tumemdhurumu haki yake,watu wangependa kuongozwa na rais wanaemuona kila Mara baada ya kuitumikia fedha inaleta nguvu Fulani kupokea ujira wako ukiiangalia noti unamuona na Rais
Vipi kama ujira wenyewe huna?

Vipi kama unayetaka kumuona ndo kakufanya usiwe na ujira?

Tushajua nia yako katika kutaka awamu gani ikae kwenye fedha,tulia watu wana hasira hela hamna.

Kama mnataka nguvu itumike,itumike katika kutengeneza ajira sio pesa.

Hakuna anaezulumiwa,ila pia itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za Umma,yan kila moaka 10 hela iwe na chapa mpya?

Inawezekana ila ni matumizi mabaya ya fedha za Umma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom