Nijuzeni jamani mfuko wa bunge ni mali ya nani MBUNGE, HALMASHAURI AU JIMBO HUSIKA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nijuzeni jamani mfuko wa bunge ni mali ya nani MBUNGE, HALMASHAURI AU JIMBO HUSIKA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ligendayika, Oct 5, 2012.

 1. ligendayika

  ligendayika JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 1,175
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 145
  Jamani nijuzeni hivi mfuko wa jimbo mali ya nani manake hata sijui unatumikaje na nani anatoa maamuzi ya matumizi ya fedha yake.
   
 2. S

  Shembago JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 332
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huo ni mfuko wa Jimbo kusaidia maendeleo ya Jimbo,na mwenyekiti wa mfuko huo ni Mbunge wa Jimbo,kamati ya Maendeleo ya Jimbo inatakiwa kutoa maamuzi ya matumizi.Tatizo kama kamati inavilaza wengi basi mbunge anadominate maamuzi yote!!!
   
Loading...