Nijuze tofauti ya serikali ya mseto na umoja wa kitaifa

nyangwe

Senior Member
Oct 3, 2010
164
30
Ndugu wana-jamvi naomba kujuzwa maana na tofauti kati ya Serikali ya Umoja wa kitaifa na serikali ya Mseto "and its philosophical point of view as long as political science is concern".maana tangu nimeanza kusikia kadhia sielewi kabisa.

nawasilisha hoja
 
Serikali ya umoja Wa kitaifa ni ile government in which several parties cooperate or The Grand Coalition Government was a product of negotiations and an agreement between the President's eg.in Kenya Party of National Unity (PNU) and the now Prime Minister's Orange Democratic Movement (ODM).While serikali ya mseto ni Kama vile Zanzibar ilivyokuwa hivi sasa mnamo 16 Feb 2010*… Chama Tawala nchini Tanzania CCM kimeridhia mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya mseto huko Zanzibar kama njia muafaka ya kuondoa chuki.
Hey! This is what I have and understood
 
Mjomba-Kaka, uko kwny mateso ya assignment nini, maana uulizaji huu umekaa kishule zaid!
As far as i know, serikali ya MSETO (coalition gvmnt) inatokea ambapo vyama viwili au zaid vinapolingana au kutofautiana kwa kura kidogo sana, au pale chama kilichoshinda kwa margin fulani kinapokuwa hakiwezi kuunda serikali kwa mujibu wa katiba, hivyo kulazimika kuhusisha chama pinzani kuunda serikali eg Uingereza.
Lakini serikali ya umoja wa kitaifa (gov of nat. unity)inatokeza kwa lengo la kutibu majerah ya matuk
 
(sorry natumia simu), Serikali ya umoja wa kitaifa inakuja kama remedy ya aftermath mbaya kabisa kwenye nchi, eg genocide or massacre, mfano Kenya, Zimbabwe, Rwanda etc.
Thats me, sijui km nimekujibu.
 
Naomba kuelimishwa maana ya serikali ya mseto,ina maana gani? Nini kinacho sababisha itokee,wahusika na katiba inasemaje?
 
Back
Top Bottom