Nijulishe ni kitabu gani umekitafuta kwa muda mrefu bila mafanikio


Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined
Oct 31, 2006
Messages
518
Likes
255
Points
80
Mlenge

Mlenge

Verified Member
Joined Oct 31, 2006
518 255 80
Pana kitabu nilisomaga nikiwa darasa la tano. Kabla sijaimaliza stori, mwenyewe akaninyang'anya kitabu chake. Sijawahi kukiona tena. Hata metadata zake. Kinaitwa "Uasi wa Pakanga". Mwenye nacho au taarifa nacho atuarifu tafadhali.
 
akida jr

akida jr

Member
Joined
Jan 1, 2014
Messages
57
Likes
27
Points
25
akida jr

akida jr

Member
Joined Jan 1, 2014
57 27 25
Nakitafuta hiki kitabu

'Maisha yangu baada ya miaka hamsini'.

Mwandishi ni Shaaban Robert
 
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2016
Messages
2,642
Likes
3,292
Points
280
M

Mine eyes

JF-Expert Member
Joined Apr 11, 2016
2,642 3,292 280
Siri ya sifuri...
 
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2012
Messages
1,097
Likes
260
Points
180
Prince Nadheem

Prince Nadheem

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2012
1,097 260 180
Kuna kitabu kinaitwa Unyoya wa Kipanga Azizi, ni collection of stories aisee.
Pia Adili na Nduguze
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,496
Likes
3,125
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,496 3,125 280
Exposed; desire and disobedience in the digital age by Bernard Harcourt.
 
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Messages
3,496
Likes
3,125
Points
280
PTER

PTER

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2014
3,496 3,125 280
The wiseman,ukileta hivi vitabu 5 vilivyoandikwa na MYLES MUNROE utakuwa kwenye list yangu ya watu wasio wa kawaida.
1.Understanding the purpose and power of women
2.The purpose and power of love and marriage
3.Principle and power of vision
4.Understanding the purpose and power of prayer
5.In pursuit of purpose

NOTE;Usilete visivyotajwa maana inawezakuwa ninavyo ila hivyo kwangu mm n ngumu kuvipata
Nitumie email yako nikutumue hivyo vitabu Mimi nina vitabu vyake vyote
 
Mweweso

Mweweso

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2017
Messages
305
Likes
328
Points
80
Mweweso

Mweweso

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2017
305 328 80
Mkuu,pia kuna kitabu kinaitwa laana ya pandu,itawezekana kwa hicho?
 
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Messages
8,161
Likes
14,330
Points
280
lucas mobutu

lucas mobutu

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2017
8,161 14,330 280
Huyu mkuu mpaka leo ni miezi 3 hanitumii kitabu
 

Forum statistics

Threads 1,237,174
Members 475,465
Posts 29,280,272